Mi mwenyewe nimeshangaa sana ila na odd zake Tisa nimempa[emoji102] [emoji102] wadau waangalie hapo ni hela manJamani,kuna friend match ya SV AUSTRIA SALZBURG vs BURSARSPAR,naona SALZBURK kapewa win odd zaidi ya 8.Swali,ni je,hiyo salzburg ni hiihii ninayoifahamu mimi au nyingine? na kama ni yenyewe ndo kumaanisha ni kibonde kihivyo mpaka kiasi cha kupewa odd kubwa kiasi hicho?au kanji kajisahau ili watu tutupe jiwe gizani.
thanks mkuu
sio hio mkuu yenywe n red bullsalzburgJamani,kuna friend match ya SV AUSTRIA SALZBURG vs BURSARSPAR,naona SALZBURK kapewa win odd zaidi ya 8.Swali,ni je,hiyo salzburg ni hiihii ninayoifahamu mimi au nyingine? na kama ni yenyewe ndo kumaanisha ni kibonde kihivyo mpaka kiasi cha kupewa odd kubwa kiasi hicho?au kanji kajisahau ili watu tutupe jiwe gizani.
Wale wa inplay mpen Marhemn ushindi,
mimi bado na draw pesa yangu naona vibanda vya M-pesa vinaishiwa kutoa 5M sio mchezo
Yeah ni halftime....Hongera pamoja sanaView attachment 370446
nimependa sana ulivyocheza mkuu.. hongera hata kama umeshindwa(ni mara chache sana ukitumia mda wako kufanya statistics kidogo tu ).. hyo yangu ila ni kimya kimya mkuu usimwambie mdau mwngne..
ila nimeshangaa sana hizo odds kwa over 0.5 mkuu.. ni half time ama?
[emoji23] [emoji39] [emoji39]Wale wa inplay mpen Marhemn ushindi,
mimi bado na draw pesa yangu naona vibanda vya M-pesa vinaishiwa kutoa 5M sio mchezo
BET WON.......Allan cjui kama ulichukua hizi odd, ulipoomba odd 2 nilikuwekea hiiJaribu hii
SKN St. Polten v FK Austria Vienna
FK Austria Vienna WIN
Odds 2.25
niliichukua but militia ina 1.85BET WON.......Allan cjui kama ulichukua hizi odd, ulipoomba odd 2 nilikuwekea hii
Mr. Q sceenshot mbona niliweka au mnataka ya malipo ya Mkekabet au!
Mbona tukiliwa hamuombi screenshot? Subiri nakuwekea kaka
ooh sikuiona kaka ngoja nipekue pekue ila hata ukiweka sio mbayaMr. Q sceenshot mbona niliweka au mnataka ya malipo ya Mkekabet au!
Mbona tukiliwa hamuombi screenshot? Subiri nakuwekea kaka
Asante sana Root!
Sometym inabidi kujitoa akili tu. Hiyo hela niliweka kwa Simbanking hlf nikaenda kulala kwa jilani