Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Hehehe...nilisita, saizi ningekuwa naelekea kuzimia, wanapelekwa hasa wako na 34%BP wakishinda wamebet hawa.Wale wa inplay mpen Marhemn ushindi,
mimi bado na draw pesa yangu naona vibanda vya M-pesa vinaishiwa kutoa 5M sio mchezo
Shauri lako unayemfahamu wewe ni REDBULL SALZBURG ...huyu yupo daraja la chini huko....Mi mwenyewe nimeshangaa sana ila na odd zake Tisa nimempa[emoji102] [emoji102] wadau waangalie hapo ni hela man
Ohoo korongo limechafuka kwa hioShauri lako unayemfahamu wewe ni REDBULL SALZBURG ...huyu yupo daraja la chini huko....
Kuna hiyo option ya simbanking mkeka?
DaaaahTomaso
BET LOST!!Nmeshindwa kusubiri kesho ... ngoja nimskizie na haka kamkeka. Leo narusha ndoano moja tu.
View attachment 370708
BET LOST!!Leo pesa yangu itarudi, mark my sentence
Consadole half time win
Marhem win
Stake ndeeeeeefuuuuuuuuiuiu
BET LOST!!ifk mariehamn win
man city gg
sapporo win
odds;- 3.68
GOODLUCK
Angalia nilichokichezaBET LOST!!
Marhem winAngalia nilichokicheza
Sijui Mariam au marhem, kaua wengiMariam kawapa ukimwi wengi sana Leo....
Jamani,kuna friend match ya SV AUSTRIA SALZBURG vs BURSARSPAR,naona SALZBURK kapewa win odd zaidi ya 8.Swali,ni je,hiyo salzburg ni hiihii ninayoifahamu mimi au nyingine? na kama ni yenyewe ndo kumaanisha ni kibonde kihivyo mpaka kiasi cha kupewa odd kubwa kiasi hicho?au kanji kajisahau ili watu tutupe jiwe gizani.