Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Acha uvivu piga hesabu vizuriNo offence Wa kusoma. Naona umeweka 2.5m @2.5 odds pays 3.75m. Mkekabet siku hizi hawakati kodi?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Root leo vp?Uoga ndo hasara zenyewe
Root leo vp?
Uoga ndo hasara zenyewe
Kirusi mkubwa wewe! Ingekuwa kubet sio kazi ingeruhusiwa na serikali? Kahaba mkubwa!Nyinyi mnaobeti mnaacha kufanya ya kulijenga taifa lenu nitawashugulikia na ninaposema nitawashugulikia, ninamaanisha na nitawashugulikia kwelikweli . Mnashindwa kufanya kazi mnakaa kubeti kubeti kubeti, nasema lazima niwapasue hayo majipu ya kubeti. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, nawambieni nitawatumbua kweli kweli.
Daaah mnanipa hamasa wakuu ... nna 100K hapa. Nipeni Odds 'nitokemo' na mm leo. Nahitaji 180K ya Road License ili nitii sheria bila shuruti ... maana wazee wa seva noma sn.
hawa singapoo unawaonaje plus malaysiaDaaah mnanipa hamasa wakuu ... nna 100K hapa. Nipeni Odds 'nitokemo' na mm leo. Nahitaji 180K ya Road License ili nitii sheria bila shuruti ... maana wazee wa seva noma sn.
Kama tukiweka akili kuwa hii nibiashara hakika hatutakuwa twalia hapa
Kuweka kuanzia 100,000 kushuka chini ni kupoteza muda tu
Yaani kiufupi kupata ni ngumu
Just imagine ukiweka 100000 kwa odd 3 unapata faida ya 150,000 hivi
Ila ukiweka 1000000 unapata faida ya zaidi ya Milioni 1 na nusu
Higher the risk higher returns
Hamia Mkeka bet kwa ushauri
Hao meridian hela yako ila unaipata watakapo taka wao na sio wewe
hawa singapoo unawaonaje plus malaysia
Hahahahaa...afu unatuita sisi makomedinz, afu mtu anarudi mikono mfukoni macho mekundu.Mimi nipo kote kote mkuu ... nkiwa ninashida ya hela ya fasta fasta nitupia mkekabet, nikiwa sina presha ya hela natupia meridianbet ... hata ikichukua siku 3 poa tu. Lakini mkekabet ni pale hela ya mboga imekata unamwambia bibie aanze kupika ugali unaenda kufuata mboga.
Game ya Albirex Niigata vs Tampines nahisi itakuwa ngumu kidogo, ukiwapa 28+ au II> itakuwa mwake. Hiyo ya DPMM vs Home Utd, naona 1X au 3+ ni mwake.
Malaysia siwasomi vizuri hao ... mechi nyingine wanaweza wakatoa 0-0, nyingine 2+, 3+ etc ... kifupi huwa nawakwepa mara nyngi.