Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Stake sasa....kwa nini usicheze mikeka michache ukaongeza dau? Hiyo stake siwezi cheza hata siku moja
Kwa sababu na stake wat I afford to loose..matreni yakitiki napata faida na sio kwamba hayatiki yanatiki...Cha muhimu code nyingi zenye timu tofauti sio ahly au Bayern akitoa bilabila ndo bac tena
 
Kwenye professionalism... Usilinganishe na ridhaa! (Amateur!)

Kufuzu kwa timu yoyote professional... Haimaanishi ya kwamba watapoteza game...kwa kuwa tayari wamefuzu...

Endelea kujidanganya! Na kuendelea kuota!
Anakariri
Wakati Real Madrid jana kamcha mtu 4 wakati hata angefungwa ameishapita

Jamaa anataka aseme tu,si niliwaambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…