Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

STOKE WIN
2.00
RMADRID OV1.5
MXB
:""::::::::::::;;;;;;,,,,,
VICTORIA BERLIN W
2.20
RMADRID OV 2.5
 MXB
:::::::::::::::::::;;::
PONTEDERERA WIN
2.00
SALZBURG OV 1.5
::::::::::::::::

BLAKBURN WIN
2.20
GALATASARAY OV 2.5
:::::::::::::
K SHINONA WIN
2.20
NAPOLI OV 2.5
 MXB

TKT 5 HIZO CHEZA SINGLE KAMA ZILIVYO CYA GNYT NGOJA TUKALE MBYZI TEGETA KUSUBIRI SPECIAL ONE WACHAGA BYEBYE
 
Kaa na ujinga wako wa kusubiri code , utaendelea kupigwa mpk basi.. nasikitika kwa una miaka haujawai kula kila siku unampa muhindi.

Alafu pia sijaandika kwasababu yako ila nimeandika kwa wale walio sirias na betting.

Ww endelea kuchangia kampuni
Duh! 🙄 Kiongozi mbona uli panic namna hii...take it easy bro...tuwe tunaeleweshana tu, msiwe hivi jaman.
 
Atafunga
 
Mkuu sijaupuuzia ushaur wako nimeufanyia kazi
 

Attachments

  • Screenshot_20231212-142831_1xBet.jpg
    170.5 KB · Views: 25
  • Screenshot_20231212-142610_1xBet.jpg
    165.8 KB · Views: 21
  • Screenshot_20231212-143338_betPawa.jpg
    246.2 KB · Views: 24
Kweli mwamba umeamua kuwa mfuatiliaji aisee,,,,, umeongea kikubwa sana
 
Ila Brugge na Bado wanakamilisha ratiba tu wameshafuzu itakua kama mechi ya kirafiki tu na wachezaji kuongeza cv katka mashindano hayo

ova
 
Ila Brugge na Bado wanakamilisha ratiba tu wameshafuzu itakua kama mechi ya kirafiki tu na wachezaji kuongeza cv katka mashindano hayo

ova
Wanagombania kuongoza kundi mzee. Wa pili anaanzia round 1/16 wakati wa kwanza anaanzia 1/8 hakuna kukamilisha ratiba ni lazima mmojawapo atake kuongoza kundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…