Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Home team imepewa ushindi wa goli hizo tayari.....wewe kuendelea kuipa ushindi, au suruhi(2-2)/(3-3) as loss (2-3)/(3-4) ikiwa home team magoli yake ni hayo uliyoyatolea mfano.
Daah!
Hebu nirudi zangu kwenye option ya magoli
 
Ngoja tujiandae kuhesabu kona kwa sevilla, huku kwa Arsenal Refa asiwe na huruma ni kadi tuuView attachment 2840801
CORNER itatoa maana zipo 7 so far,BADO 2 tu

Ila Cards BADO, atleast first half ipatikane Moja

Maana Psv na Arsenal mpira wao unafanana,very soft na passes nyingiiiii.
Labda kipindi Cha pili ndio Cards zinakuwa nyingi
 
Looh mambo tayari yameshakua magumu..Yan mechi ya Arsenal hakuna kadi hata moja! Yule Lens na mwenzake Sevilla kona zimengangania palepale 7 na dkt zimeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…