Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,957
- 8,206
Kaka tusave codes
Ìyo imeisha mkuu, anza kukaa mkao wa kidosiMwamba kaa tulizana tafuta odd 3000 chap uje uchangie nasi hapa tuendelee kulipa miamia hizo
Usije ukathubutu kuweka hela hiyo gameMnaocheki mechi ya Man u, magoli mawili yatapatikana?
HakikaBest advice ever kutoka katika huu Uzi, ukisoma comment za humu unaweza than watu humu ni looser hawajielewi kumbe akili tunazo sema wengine tunajaribu bahati zetu humu labda tutapata mitaji from betting [emoji23] na wengine tunafanya just for fun
Ungesaga menoIle million 10 niweke hapa?
Ni vinyundo tuHakika
Wale 2.5 over man U anawasalimia
Aisee naona mifaulooo kama yoteman u nashangaa hata kona hatoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijui tungebet namna gani hii game!
Ahsante kakahuooo uefa sijui euroooo kuna 0_0 FT mbili kazikwenu
Nikokwamasaawe palee
Nimeapa siangalii tena mechi za Manchester United mpka apate ushindi mara tatu mfululizo mmae hii Tim itaniuaMAN UNITED [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hata[emoji460] mojaaaaaaaaaa
Umeikosa EUROPA kwa sare tuuuuuuuuu
Juzi umechapwa na Bournemouth 3 Bila,tunajua unaweka nguvu huku,leo Sare Ili uingie EUROPA mwenzo Kobenhagen kaishamtuliza Galatasaray hapo hapo BADO umeshindwa
Na Jumapili anakutana na Liverpool aliekolea,hapo SasaNimeapa siangalii tena mechi za Manchester United mpka apate ushindi mara tatu mfululizo mmae hii Tim itaniua
[emoji16][emoji16]DAAH ILA WAJA, NDIO NILIVYOSEMA HIVYO MKUU?Unafikiri tunaostake sh 100 mia hatuna hela sio? Sawa
we chukua chako mapema.utakuja kujutia hiyo helaKuna mkeka Nilibet mkeka wa mechi 10 ktk mechi hizo 10 kuna mechi ya club brugge nilimpa afunge goli kuanzia 1 mechi zote zimetiki sasa kumbe nilikosea hii mechi ya brugge nikambetia mechi ya tareh 14 badala ya mechi ya jana. 300k sijui kama atafunga goli dhidi bodo kwenye uefa dah.
Tuesday
Nitaanza kufuatilia codes zako