Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tunahitaji Mtu mmoja Atuchambulie namna Ya Kubet siku ya JUMAMOSI

PUNTERS Wengi tunapata hasara siku ya Jumamosi

View attachment 2900006
Sportybey waliniwekea gift 18k nkalipuka af imekuj chana hii timu pekee ake na ki odds chak kidogo,huyu kanji anatumia mizimu so bure ,mtu kaongoz mpk 90+
 

Attachments

  • Screenshot_20240210-223942.jpg
    25.1 KB · Views: 2
Mkuu Mbochong'a humu ndani kuna shida kubwa mno, inafikia kipindi hadi mtu unawaza hawa raia wanahitaji watu wa aina gani humu kundini? Ukituma mkeka ukawin shida, usipowin tatizo. Kutukanwa na kuitwa majina ya ajabu, unashindwa kuelewa ni nini umewakosea watu.

Ndio maana wengine tumeamua kukaa kimya tu. Haina haja ya kusumbuana na kugombana na watu. Alhamudulilah Mungu anajalia KANJI anapigika haswa.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Kuna mkeka niliuchukua Nigeria 2830 mechi 24 toka tarh 5 nikaudharau nikaweka 200 aisee unakwenda umebakiza mechi 5 tu za kesho ningeweka hata buku ingetoa hela nzuri badala ya hii 1m
 
Dakika 5 zijazo nakwenda kulost mikeka miwili kwa pamoja kwa ajili ya az alkmaar kushindwa kupata 2+.
 
Kuna mkeka niliuchukua Nigeria 2830 mechi 24 toka tarh 5 nikaudharau nikaweka 200 aisee unakwenda umebakiza mechi 5 tu za kesho ningeweka hata buku ingetoa hela nzuri badala ya hii 1m
Ile mikeka ilikua iko vizuri, ukiipata tena ilete
 
Luton [emoji2369]

Chesterfield [emoji2369]

Wolvers [emoji2369]

Cardif city hata Goal Moja? [emoji2369]
Wolves leo niliwawazaa weeh maana mpira waliocheza na Chelsea nilijua walimkamia,,,, ila nikajipa moyo wale ni wareno ujue wanaupiga mbaya kwa sasa,,,, Lol manyoko zao na wenzao Luton
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…