Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sportybey waliniwekea gift 18k nkalipuka af imekuj chana hii timu pekee ake na ki odds chak kidogo,huyu kanji anatumia mizimu so bure ,mtu kaongoz mpk 90+Tunahitaji Mtu mmoja Atuchambulie namna Ya Kubet siku ya JUMAMOSI
PUNTERS Wengi tunapata hasara siku ya Jumamosi
View attachment 2900006
Mkuu Mbochong'a humu ndani kuna shida kubwa mno, inafikia kipindi hadi mtu unawaza hawa raia wanahitaji watu wa aina gani humu kundini? Ukituma mkeka ukawin shida, usipowin tatizo. Kutukanwa na kuitwa majina ya ajabu, unashindwa kuelewa ni nini umewakosea watu.Yaani wakamaria sijui tunataka nini!!? Haya mambo ndio yalimafanya Invigilator aache kupost mikeka. Mbona tunaumia sana tukiona mtu anapost mikeka inayowin!!? Hata kama ametoa telegram si unyamaze tu. Moaka mtu ameamua kushare mkeka maana yake anataka na wengine wapate. Wengi wana magroup lakini hawapost. Tumuache apost kama huna stake za kufata mikeka yake wewe endelea na matreni subiri utashinda 85M kwa 200 mwaka 2045 ukishazeeka. Tuache chuki za kishamba.
Tupe mikeka bwana
Ile mikeka ilikua iko vizuri, ukiipata tena ileteKuna mkeka niliuchukua Nigeria 2830 mechi 24 toka tarh 5 nikaudharau nikaweka 200 aisee unakwenda umebakiza mechi 5 tu za kesho ningeweka hata buku ingetoa hela nzuri badala ya hii 1m
Girona anaangamia leo
naipata kila leoIle mikeka ilikua iko vizuri, ukiipata tena ilete
Nilishalilax ,,,,,,, ila over kanji kasepa nayo hiyo optionRelax
Wolves leo niliwawazaa weeh maana mpira waliocheza na Chelsea nilijua walimkamia,,,, ila nikajipa moyo wale ni wareno ujue wanaupiga mbaya kwa sasa,,,, Lol manyoko zao na wenzao LutonLuton [emoji2369]
Chesterfield [emoji2369]
Wolvers [emoji2369]
Cardif city hata Goal Moja? [emoji2369]