afu unajua mtu unaweza kuzembea kupitia na hizo odds kumbe ni pesa hii?
Naanza hivi, Mchana huu...[emoji120][emoji120][emoji120]
upo sahihi mkuu nakuunga mikono yote aisee kama kweli hukuweka mapema watu wakadesa yanini ulete mrejeshoNiliuona .... Nimejibu "GENERAL" sio kwa mkeka huyo tu.... Kuna pipo wao wakila tu ndio wanatupia Mikeka na lilishaongelewa sana .... Kama haukuweka muda wa kucheza upo UNAWEKA WA NINI UMESHASHINDA!!??? ..... Ni kwa wote neno langu sio sheria lakini ni bora ubaki na ushindi wako kimyakimya kama ulivyocheza kimyakimya....
kweli mkuu hii pesa sio yakuiachiaafu unajua mtu unaweza kuzembea kupitia na hizo odds kumbe ni pesa hii?
Tupooo jingine hiloo
Kawaida tu mbona Bate juzi katia 2-0 dkk13 mechi ikaisha 2-0 .... THIS GAME DOES NOT NEED ANGRY
Kimbiza kimyakimya .... Ndipo tunapoelekea .... Ukitupia mkeka inaelekea kuna watu wanatuombea mabaya .... KWA NINI ALE YEYE KABAKIZA MECHI MBILI ALIWE TU ... inawezekana hilo lipo ....
afu unajua mtu unaweza kuzembea kupitia na hizo odds kumbe ni pesa hii?
Vipi bankocep kwa leo wanasemaje wakuu?
Yap over 2.5 m bethiyo ni Over 2.5 ama?
naombeni kuuliza hivi kwenye hii option ya NG ikitoka matokeo ni 0:0 nakua nmepigwa ama