BP umetuachaWakujilipua...inplay SB
2B8AE11
😂😂😂Naona mnaongea tu LAKINI hakuna code 😁
hatuwezi kulia wote mkuu.Msimu wa majuto umeanza tena
rudi jukwaani mkuu
majuto na mavunoMsimu wa majuto umeanza tena
elfu tano tu ndio wanakusubirisha😭😭😭Kuna mtu amewahi kupitia hii situation?
Nina mkeka nilibeti jana ulikuwa na timu 3 zote zilitiki.
Sasa ule mkeka sijalipwa mpaka leo, unaonesha tu won.
Nimewasiliana nao wanasema nisubiri toka jana.
Kampuni: 1XBET
View attachment 3070586
Hiyo namba 5 ulimaanisha parimatch? Kama ndiyo basi watoe hapo, hao ndo matapeli wakubwa. Kampuni za uhakika niWazee kama nina gundu odds 519 siku 4 zimepita sijala hiyo hela wala siijaipata yote ,siku ya kwanza kuitoa ikagoma hewani,ikarudishwa nkaitoa kwa njia ya vocha kampuni fulani hadi jana mawakala wao na kampuni ni shida Leo naambiwa nsuburi hadi kesho Leo nataka niseme kampuni za uhakika tz n azozijua mimi ni
1-meridian
2-Bet power
3-sport pesa
4-gal sports
5-par match hawa wanakuja vizuri sana