Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mtu amewahi kupitia hii situation?

Nina mkeka nilibeti jana ulikuwa na timu 3 zote zilitiki.

Sasa ule mkeka sijalipwa mpaka leo, unaonesha tu won.

Nimewasiliana nao wanasema nisubiri toka jana.

Kampuni: 1XBET

Screenshot_20240815-113039_1xBet.jpg
 
HT X
 

Attachments

  • IMG_20240815_122505_295.jpg
    IMG_20240815_122505_295.jpg
    19.9 KB · Views: 2
  • IMG_20240815_122458_334.jpg
    IMG_20240815_122458_334.jpg
    19.9 KB · Views: 2
Wazee kama nina gundu odds 519 siku 4 zimepita sijala hiyo hela wala siijaipata yote ,siku ya kwanza kuitoa ikagoma hewani,ikarudishwa nkaitoa kwa njia ya vocha kampuni fulani hadi jana mawakala wao na kampuni ni shida Leo naambiwa nsuburi hadi kesho Leo nataka niseme kampuni za uhakika tz n azozijua mimi ni
1-meridian
2-Bet power
3-sport pesa
4-gal sports
5-par match hawa wanakuja vizuri sana
Hiyo namba 5 ulimaanisha parimatch? Kama ndiyo basi watoe hapo, hao ndo matapeli wakubwa. Kampuni za uhakika ni
1. Sportybet
2. Meridian
3. Sportpesa
4.........
 
Back
Top Bottom