Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu natafuta kampuni nzuri yenye option za kutosha ambayo Haina cash out nataka jiandae kitu kimoja hatari sana Kwa muhindi kinipe mamilioni
 
Sportybet kwenye ishu ya ku-Withdraw

Mfano Kuna Balance ya 100,000

Kuna withdrawable 600

Anaitaji kutoa 80,000 ila inagoma unalazimishwa kutoa 600.


Kwanini hawataki utoe kiwango unachoitaji wewe au ndo utaratibu wao mpya mwenye kujua hili jambo msaada ..
 
My BEST and TOP CLASS BETTING company

SPORTBETY πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Wazee wa kusuka mikeka, hivi mnaionaje M-Bet katika suala zima ka kutoa pesa? Nimeamua kuwa mwekezaji halafu jana mkeka umekubali ila mpaka sasa naona mizinguo kutoa pesa.
 
Watu wanabetia kampuni kufata maneno ya watu kampuni ni sportybet Haina matangazo mengi ila kazi yake inaongea unachagua option Kwa uraisi na ushindi ukishinda dakika 1 mzigo ushalipwa
Kampuni za kubetia za Mrusi ndiyo bora. Kampuni zina kila machaguo unayoyataka kwa kubetia. Kuanza kwenye fouls, passes, medical team, saves nk. Sasa Sportybet ina nini? Mimi mwenyewe natumia Sportybet lakini ninapo taka kubeti Mkeka Wa kushinda kwa asilimia 99 naenda kwa mrusi.
 
Sitaki ligi mzee endelea kuzibetia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…