Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sasa hapa si pumba kabisaa haya mabo ya inplay wakat mwingine ni uhgonjwaa
 
WENYE BANKOCEP WAINGIE NASKIA ILIKUWA NI SHEREHE MIE NATUMIA PC ,
 
hiz za usiku meridian
total odd 2.35,
double or lose ur money [1/2]🙁🙁
 
Wakuu wa kazi naomba kuuliza, hv option ya ADVANCES TEAM na BONUS amount kwny premier bet zinatumika vp??
 
Bankocep gemu zote wamepatia daaah sijui kuna uchawi au nao wanabeti hawa jamaa
 
Kalmar vs Malmo wametoka droo na nilimpa malmo double chance jamaa wameandika bet lost wakati mkeka nimekula
Double ya chance ya any team win AU a team win or lose? Kama ni any team win umeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…