Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usijaribu mkuu......tafuta namna nyingine ya kupata hiyo Kodi....

Hii 30k ikiliwa utaumia mno.
 
Hiyo pesa unataka kubetia unaweza nunua vitumbua na soda huku unatafakari namna yakushawishi mwenye nyumba
 
Hiyo ni pata potea usijaribu, tuliza fuvu utapata ufumbuzi wa tatizo lako, "there is no easy money"
 
Elfu 50 sina mkuu ningejilipua potelea mbali niwe nimejaribu kufanya kitu kujipambania
Humu wengi wanabet kutafuta kipato cha ziada lakini bado wanekupa ushauri usijaribu hivyo hata mie najazia USIJARIBU kufanya hivyo wewe bet kutokana na uwezo wako huku ukitafuta hiyo kodi
 
Kuna odds saba za kufumba macho:
Madrid win
Baselona win
Chelsea win
Arsenal win
Man city win
Liverpool win

Mengine tumwachie mungu
Liverpool yupo away, chelsea anakutana na watoto wakamiaji wa vigogo.. stay awake my brother.
 
Zinafanana ila utofauti wake mimi nilivyoona hii flash save ni system yenyewe automatic inaamua kulingana na aina ya mechi yenyewe ila huku kwenye 2Up ww mwenyewe unaset na kumbuka kwenye kuset 2up kuna odds zinapungua
Kwenye flashsave mhindi anakupa win kama kukiwa hakuna mategemeo kabisa ya matokeo kuja tofauti mfano leo simba anaoongoza 2-0 hakuna ambae angeweza kufikiria kama Coastal anaweza kuchomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…