Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Karibu mkuu
 

Write to us​

 
Mostly natumia sportybet ama betwinner....
Hiyo ya one lost out of 5 or 8 ni nzuri sana kucheza ngumu kumeza mimi bado sija amini kama makampuni ya kamari yanaweza kufanya hilo kosa la kurudisha pesa kwa kukosa mechi moja kati ya 5 au 8 maana hapo lazima mkamaria makini ana tajirika ?
 
Alafu kacheza na kibonde kabisa yani hizi timu kuna namna sielewi nini kinatokea
mimi mwenyewe nina hisia kama zako aisee, make dah!
Yaani yuko nyumbani na anacheza na kibonde! kama mauzauza yaani.
 
Bradford – Newport County: 1
Crotone – Avellino: GG
Start 2 – Vigor: 1
Cerrito – Torque: 2
Kwa mikeka zaidi ya leo 07/10/2024 tembelea link hapa chini
 
Nimecheza mtego
 

Attachments

  • Screenshot_20241007-115907_SportyBet.jpg
    302.6 KB · Views: 3
Oya death trap kama linakuja
 

Attachments

  • Screenshot_20241007-121547_SportyBet.jpg
    142.2 KB · Views: 7

MKEKA WA SIKU KWENYE PARIPESA⚽

πŸ“Œ Betia PARIPESA, Kama Huna Akaunti Tengeneza Akaunti Ya PARIPESA πŸ‘‡.

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Booking Code: FL1F3

πŸ“Œ Pata Bonus Ya 250000 Kwenye PARIPESA Ukijiunga Leo Na Kuweka Promo Code TIPS2424
 
Hiyo ya one lost out of 5 or 8 ni nzuri sana kucheza ngumu kumeza mimi bado sija amini kama makampuni ya kamari yanaweza kufanya hilo kosa la kurudisha pesa kwa kukosa mechi moja kati ya 5 au 8 maana hapo lazima mkamaria makini ana tajirika ?
Wanakurudishia ileile hela uliyocheza kiongozi....
 
Binafsi nimelifutilia mbali li-app lao na nimewaachia elfu 19 wakae nayo,,,, ***** zao tangu juzi no salio,,, alafu cyo mara moja,,,,
Yaani unapigwa na pesa nayo fulu kukuletea mawenge,,,,, hawa jamaa yataka moyo kuingia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…