Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo ni siku ya mhindi kulia na kusaga meno

-barca
-celtic
-feyenoord
-fiorentina
-man u
-atalanta
-rangers
-shakter donesk
-spurs

Mm nadhan angalau tuweke mikeka hata mitatu.
1. Direct win changanya na DC
2. Over 1.5 changanya na Under 4.5
3. Cards over 2.5 na Corners over 6.5

Pia odds zisiwe mlima sana na stake isiwe ndogo sana.

Hizo options Kanji hachomoi , tutampuna tu
 
100%.
 
Line uliyotumia kuweka pesa ndio wanajua pesa yako iliko

Halafu Hujadepost kupitia paripesa bali kwenda paripesa


Hiyo line umetumia kuweka ndio operator, wapigie watakwambia pesa ilipo...
 
Nahitaji mkopo wa 50k wakamaria wenzangu.
Wewe mweyewe hapo ulipo ukikopa hulipi

Unahamisha madeni tu

Kampuni zote za Sim zinakopesha,sasa kwanini usikope ktk line Yako,jibu ni kwamba huko kwenyewe unadaiwa.🤣🤣🤣

Mdau don't reach to that moment kwa ajili ya KAMARI,Mechi zipo,fanyakazi ingiza pesa then tumia utakavyo ila sio ukope kisa leo unaona utajiri nje nje 🤣🤣🤣🤣NDIO Kamari ilivyo
 
Line uliyotumia kuweka pesa ndio wanajua pesa yako iliko

Halafu Hujadepost kupitia paripesa bali kwenda paripesa


Hiyo line umetumia kuweka ndio operator, wapigie watakwambia pesa ilipo...
Mkuu nilideposit kwa kubofya kwenye app yao nikafanya malipo
Tukasumbuana nao wiki nzima ndio hela ikaingia kwenye acc

Baada ya kula sasa nataka kutoa hela
Ndio hapo nakutana na REJECTED BY OPERATOR

Yaani mimi nianze kuwapigia Halopesa kwamba kwanini Paripesa wana reject kunilipa?
We unaona hii imekaa sawa mkuu?
 
Kaka naona umeamua kunisemea.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ila haipo kama unavyohisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…