Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hatimae wamenilipa M-Bet. Nilikua siaminig hiz mambo na this was my first time nikasema acha nijaribu
They have credited my m-pesa
View attachment 3175559
View attachment 3175560
Kumbe hiz mambo ni za kweli, nikajuaga uzushi tu
Hii kampuni ndo nilianza hz mishe za kubet,ilikuwa ikifika saa 4 asubuh wanatuma hela vzur tu,kuna mwanafunz wang aliwah kuwapiga laki 7 nae alikuwa na wasi wasi kama wewe lakin ilivyofika saa 4 mpunga ukaingia

Lakin nakushaur achana na hyo kampuni maana haina machaguo mengi,njoo kwenye hz kampuni za kudeposit kama sportybet zina machaguo ya kutosha maana siku hz timu zimeshachanganyikiwa,kwenye ligi haziwez win zote kama ulivyoweka hvyo
 
Wakuu mwenye uelewa na hii option tafadhali
 

Attachments

  • Screenshot_20241213-005955_Megapari.png
    748.6 KB · Views: 3
Mmmh mkuu yaani 1m alfu imekuaje kaandikiwa UMEKOSA ...?

Yaani huyu nae codes katoa wapi ukute katoa humu humu najua mshamchezea mchongo mwenzenu..

Hili jukwaa litafungwa mnatuzulumu sana
Mkuu alokudhulumu niletee kazi iyo tumchukulie hatua😀😀😀🤸MWANAUME UNALALAMIKA SANA KHAA ELFU TANO NDO KELELE YOTE IYO INGEKUWA UYO MWENZIO WA MILIONI LEO SI TUNGEZIMA DATA KHAA
 
Mkuu alokudhulumu niletee kazi iyo tumchukulie hatua😀😀😀🤸MWANAUME UNALALAMIKA SANA KHAA ELFU TANO NDO KELELE YOTE IYO INGEKUWA UYO MWENZIO WA MILIONI LEO SI TUNGEZIMA DATA KHAA
Wewe unajua nimeipataje hiyo elufu tano...
Nimejinyima mengi alafu then mtu anakuja kusema et kona zometo draw...

Alafu unamtetea sana wewe.
Mi nataka changu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…