Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

First Half Inter Milan alisema watu roho juu 🀣🀣🀣🀣

Kimoyo moyo tunaanza kusema Wameuza Mechi 🀣🀣🀣
 
wivu haukufanyi ufanikiwe
Hata mkiumia mtajua wenyewe baba hiyi jana woooooooon qudadadake edit na wewe tuone
 

Attachments

  • Recorder_29122024_065600.jpg
    191.7 KB · Views: 4
Kwenye mtihani walimu wetu walitufundisha tuanze na maswali tunayoona ni rahisi kwetu hata kama pepa ni gumu.
Ngoja tuanze hapa na hii game ya Yanga pia na Mancity katika jicho la betting.

1. Kwa hali ilivyo Yanga anaaminika kuliko Man city, hivyo ni rahisi Yanga kutoa ngumu kumeza kuliko Man city. YANGA WIN 1H.

2. Mechi kama sio 3 au 4 zote Yanga anapata magoli 1H. Hapa tunaweka YANGA OVER 0.5 au over 1.5 1H kwa ujumla.

3. Kwa kuzingatia kifungu kidogo namba 2 hapo juu, ushindi wote wa Yanga amekuwa akipata magoli mengi 1H. Hii itakuwa na odds 3+

4. 75% ya game ya Man city kunaweza kutokea goli 1H. Kwa kujilipua unaweza kuomba goli 2. Ila mimi binafsi sikomi, nampa ashinde goli 2+ 1H.
 
Mnaahindwa kutumia akili ya kawaida tu kuchanganya mambo mnaanza ooh tapeli ooh anawavuta watu hivi kuna mtu wa kunipa mm pesa humu?? Nikuchukulie ki elfu chako kinisaidie nn ??? Naweka screen shot coz ili ni jukwaa husika la haya mambo wala sitaki mtu aje pm kuniomba mkeka ningetaka kutapel ningeenda fb qudadadake mwingine unakuja hapa ni woooooooon tu kama inakuuma utajua ww
 

Attachments

  • IMG-20241229-WA0016.jpg
    47.9 KB · Views: 3
T Angalia vizuri hiyo mikeka mbona edit inajulikana hapo una edit nn Kinjunga
 
Ni
So unapost Won tickets za mikeka ambayo hukuwahi kupost hapa ili iweje!?
Una viashiria vyote vya utapeli, kila lakheri maana wajinga ni wengi, watakufata inbox.
#TAPELI
Staili mpya au ulitaka nile dagaa kila siku wivuu hakusaidii utakuta maskin
 
Naona Kuna mtu anapost mikeka ya correct score win afu anastake 100k 200k , sawa anaona sisi ni watoto
Nipo mama ulitaka nistake ngapi huo ndio utaratibu wangu mpyaa vp kuna swali la nyongeza πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Mkiona nipo kimya juen nipo off line ni ndio mr pipa aka nabii wa mikeka nina upakoo wa motooo kipindi na screen shot lost mlikuwa mnasema sijui kubet leo na woooon mnaniita tapeli kwakweli mtajua wenyewe
 
Mkiona nipo kimya juen nipo off line ni ndio mr pipa aka nabii wa mikeka nina upakoo wa motooo kipindi na screen shot lost mlikuwa mnasema sijui kubet leo na woooon mnaniita tapeli kwakweli mtajua wenyewe
Kama Wewe ni wa kike Sawa kwa huu uandishiwako , Ila kama ni wa kiume Basi Utakuwa umeyaaga mashindano
 
Jana, Leo kesho ni siku za kuvuna hela za mwaka mpya kupitia kanji 😁 nae anataka za kwetu za January apeleke watoto shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…