Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sahihi
 
Wale wa KUJILIPUA
Karibu tulipuke...... die trying

Tia kilo moja kisha agiza kinywaji cha bariiiiiiiiiiidi
 

Attachments

  • CEDBF4C7-DF93-418C-AAA9-871F159B3D32.png
    174.7 KB · Views: 3
Wale wa KUJILIPUA
Karibu tulipuke...... die trying

Tia kilo moja kisha agiza kinywaji cha bariiiiiiiiiiidi
Hii ni zaidi ya kujitoa muhanda, siyo rahisi kabisa matokeo yote ya mechi 3 yaishe hivi, it is very unlikely.
Bora hata uzipe hizi mechi over 1.5 goals au over 2.5 goals.
 
Kiufupi mechi za uefa ni ngumu sana kutabiri kwa sababu hakuna uwiano wa wao kukutana mechi za nyuma tofauti ya ligi kuu ya nchi husika.
Binafsi nimeacha kabisa cheza mechi nje ya ligi kuu.
 
Umetisha sana, uchambuzi wa kibabe kabisa.
 
Mwendelezo ni kila Jumatano na Jumamosi kila wiki. Naitwa Jay Alchemist mwandishi toka Afrika Mashariki. Uongozi wa taifa za Afrika ndio hutufanya waafrika tuwe nyuma. Tunaitwa The Dark Continent. Kisa? Viongozi wetu ni walafi na kama mwandishi wangu kipenzi BEN R MTOBWA alivyoandika: Hawa wanafakamia mali ya umma kwa njaa ile ya umaskini. Baada ya shibe, wanaendelea kufakamia mali ya jamii ili wailinde shibe hiyo. Jiunge nami katika hii safari ya wazalendo wa Afrika. Tusome hii simulizi iitwayo: Serikali ya Wezi, Taifa La Waliodanganywa. Simulizi hii ni sehemu Kijasusi kama ile series ya Joram Kiango ya Ben Mtobwa sehemu ya Kimaisha na sehemu kubwa riwaya kama zile za Ken Walibora

Kesho ni Jumatano: endelezo la simulizi yetu yenye utani na uandishi wenye kipaji kama waandishi wetu watukufu wa Afrika Mashariki. Katikati ya saa 6pm-8pm EAT.
Tutamwona binti mwenye mini anavyomtesa fisi mtaani!

 

Attachments

  • Jamii.jpg
    783.9 KB · Views: 4
  • Serikali ya Wezi Article.png
    782 KB · Views: 3
Mtoe Man City hapo, Gardiola ana stress za talaka. Hakuna kitu anafundisha pale kwa sasa.
 
Huku tunapambana wenyewe, peleka yale majukwaa ya wanaotaka serikali iwapambanie.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…