Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Napoli sasa ni rasmi namuweka black list
 

Attachments

  • Screenshot_2026-01-15-11-46-20-740_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    129.8 KB · Views: 16

58000 βœ…βœ…βœ…βœ…βœ… βœ…βœ…βœ…βœ…

TUMELIPWA βœ…βœ…βœ…βœ… βœ…βœ…βœ…βœ…

πŸ“Œ Jisajili Fansport Kwa Kutumia Promo Code πŸ‘‰SASA1 Upate Bonus Ya 200%.

Jisajili HapaπŸ‘‡

Jisajili Fansport Hapa

Jisajili Fansport Hapa

Promo Code πŸ‘‰ SASA1
 
Mechi za jana, Zilikuwa hazina complications nyingi , zilikuwa zinatabirika kirahisi kama mechi za leo tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20260116_025649_Gallery.jpg
    36 KB · Views: 24
  • Screenshot_20260116_013452_Chrome.jpg
    110.1 KB · Views: 23
Mkuu hizo code sikuziona Kaka
Ninapoweka Code ya stake kubwa kwangu kuanzia 7000, huwa naona bora kufa kijerumani, (nisife na wengi!)

maana nafanya machaguo hatari! kwa kile ninachokiona kwe fikra zangu tofauti na wanachokiona wengi!

Kwa mfano ningeweka hapa ningeonekana kichaa! Kwa namna bookmarker alivyocheza na odds za jana!

Nitarudi hapa na code ya 2000, 1000 na 5000 nilizo-zipaka vilainishi ili watu wasiumie sana!
 
🀣🀣🀣Sawa naisubiri huu mwezi Nina jambo langu nataka niweke 5k mkuu
 
Jana kwenye account nilibaki na 6700 tu, nikaweka odds 4 Kisha nika stake elfu 6 ikachana timu Moja tena al ahly ambaye nilimpa Double chance ila alifungwa.

Ile 700 iliyobaki, nikaweka mkeka mwengine ambao sikuwa na uhakika nao. Zilikuwa odds 41. Niliweka kisha nikalala baada ya kugunduwa bando limeisha. Sasa nafunguwa Sasa hivi nakuta odds 41 zimetiki aiseee 😁

 
Hee, hii nayo ni kampuni ingine ya betting!? Aisee!

Ila kwa wakamaria makini, tunazijua kampuni Kong we na ambazo hazina longolongo kwenye malipo!

Sasa jichochee mwenyewe kwenye hizi kampuni za mfukoni!

nina wasiwasi na hizi kampuni za simu zinauza namba zetu kwa haya makampuni mapya
 

Hongera sana

Hii huwa inatokea sana ,kuna siku mie niliweka 200 tu nikakuta 70,000
Tena unaweka mkeka wa options ngum ambazo hata hutarajii

NDIO betting ilivyo

Hapo umepata Mtaji wa weekend
 
Hawa ******* sijui kama hata kuna privacy kwenye line zetu.

Kwasababu hata mimi hiyo meseji nimetumiwa leo.

Tena ni namba ambayo sijawahi kuitumia katika mawasiliano wala vocha haijawahi wekwa.

Ni kwamba kutokana na hiyo line kufanya miamala kwenye kampuni la betting badi wameanza kutuma matangazo yao waliyoingia ubia na makampuni mengine ya ubashiri.

Hii inaonesha kuwa wana monitor kila kitu ambacho kinafanywa na line yako. Nchi nyingine hii inaweza kuwa kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…