snipercorp
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 174
- 41
sikutegemea na mimi nitafika level hizi......mikeka yangu 13 ya mwisho, nimeharibu miwili tu!! Business continues baadae.........
huu mkeka wa jioni na usiku macho yote kwa psg
psggggggg!!!!!!!!
Ng'ombe wa maskini hazai! Yaani Monaco wanarudisha dkk ya 92 na kunikosesha million moja hivi hivi!
Ng'ombe wa maskini hazai! Yaani Monaco wanarudisha dkk ya 92 na kunikosesha million moja hivi hivi!
Duh, mkuu hao PSG walinikosesha 1.7 M walidraw kishenzi kweli
Yaani, ilikuwa bado dkk moja nifumue milion, hebu ona hapo chini mkeka wenyewe
View attachment 190790
Pole mkuu psg now wamevurugwa had wakina zlatan wanakiri kuna mgogoro ndan ya timu maana kwa kikos kile haiwezekan wawe nafas ya 5
Sasa mimi hawa jamaa wananichanganya, kuna siku niliwapa draw wakafungwa, nikawapa ushindi wakadroo, mechi ya Barca nikawapa Barca/draw PSG akashinda, jana nimempa ushindi kwa reference ya yeye kumfunga Barca, akachemsha.
Natangaza kuachana naye kwa muda kama nilivyoachna na Dortmund na Inter, until further notice. They don't mean business these guys.
Duh, mkuu hao PSG walinikosesha 1.7 M walidraw kishenzi kweli
aisee team za kuaminika sasa ni chelsea,man city,juve,madrid,barca,porto...psg na team nyingine zq france ni upuuzi mtupu..team za championship nazo hovyo sana zinaharibu sana mikeka