mkuu man utd unawaamini kum outscore WBA? kumbuk han beki...plus kuna yule dogo berahino anatupia, hii game inaweza ikawa sare ukizingatia WBA yuko home, halafu na westham n burnley nna wasiwasi n hiyo game...atletico ni mabingwa wa kushinda 1-0
Under/Over, OKC ninawaamini nikaamua kuwapa ushindi, pia Denver alifungwa juzi na Lakers nikamdharau.
Preseason Meridian wanaogopa kuweka live-play, so inabidi ucheze mapema ambayo ni ngumu kweli.
Nataka niweke hela kwenye acc yangu ya iPlay, naona wao wanaweka.
Mkuu zipi ni rahisi kucheza?
Mkuu mimi nachezaga live tuu katika basket. na live yenyewe ni Under na over ya overal match. Na mara mojamoja nachezaga option ya OU quater basis
Mkuu hili swala ni la kweli kabisa, lakini hiyo mitaji kuipata ni changamoto. Mimi naanza kuchukua hatua za kutajirika kupitia Betting mapema iwezekanavyo; mkeka naoanza nao ni huu hapa chini.
Huu mkeka odds ni 4.97, natafuta mkopo wa sh 1m nitupie yote, ikiliwa mbele kwa mbele itakuwa moja ya hasara za biashara! Nikila ndo mtaji umeshapatikana.
Hapa natumia principal ya weka kingi pata kingi au kosa kingi!
Wazee wenzangu nipeni ushauri wa nimwondoe nani kati ya hawa, maana nataka nianze kuwachana chana Meridian.
View attachment 191583
Hata mimi nachezaga hizi hizi. Unabet kwa kampuni gani mkuu? Maana naona kama Meridian ni waoga waoga.
Mkuu yani unatia million alafu unaweka timu tisa??? Duuuhh
Mkuu mimi nabet na meridian haohao. Ila nataka nivuke border. Nataka nianze kufanya na kampuni za abroad. kama BWIN na Bet365. bado nipo kwenye analysis ya kampuni gani niwekeze. kwa kuanza nataka weka USD 500 kwa abroad.
Okay, tutapeana uzoefu, make hawa Meridian wana mchezo mbaya sana wa kubana website wakiona dalili za kupigwa, jana alfajiri waliachia game za Preseason NBA zikawa live, baada ya kushtukia watu tunafanya yetu wakaupiga chini mtandao, kama inavyotokeaga weekend.
Wanaboa kinoma.
Wakuu nimecheza huu mkeke, naona kuna timu zaidi ya nne hapo zitashinda. Hebu tufanye analysis ya timu nne za ukweli hapo watu tutengeneze timu za mkeka wa kuweka buku 50.
View attachment 191624
Duh, kumbe waliachia network.? Mimi niliamka saa 8 nikakaa mpaka saa 9 hakukuwa na game. Na nilikuwa nazitegemea hizohizo match kupiga mpunga
Waliachia, nililiwa hela game ya Chicago baada ya kushindwa kuipandia kwa sababu net ilikata immediately. Jamaa wahuni sana, yaani sana.
Dawa yao iko jikoni.
Wakuu nimecheza huu mkeke, naona kuna timu zaidi ya nne hapo zitashinda. Hebu tufanye analysis ya timu nne za ukweli hapo watu tutengeneze timu za mkeka wa kuweka buku 50.
View attachment 191624
Man U nimewapa win au draw, Atletical nimewapa kufunga goli 1 au zaidi, ikitokea wasifunge ndo issue hapo, Westham kwa Burnley ninawapa Westham au draw!
Najaribu kuweka options ambazo zina risk ndogo, win or draw; total win ni Barca na Bayern pekee.
Next week m 5 za bure weka 55000 jilipue