Hiyo 1x&0-3 na 1x&2+
maana yake ni nini??
Hyo ya kwanza inamaana timu ya nyumban ishinde au draw na magol yawe chin ya matatu na hyo ya pili hivyohivyo ila magol yazid mawil
Nampa Egypt leo
Mm egypt nmempa halaf nimejitoa mhanga kwa cyprus pia
Hahaaha Cyprus kuwafunga mayahudi???
hii game ningumu sana, mie niliweka 28+ hapa nawait mtu yeyote apigwe iwe furaha kwanguMm egypt nmempa halaf nimejitoa mhanga kwa cyprus pia
Hahaaha Cyprus kuwafunga mayahudi???
hii game ningumu sana, mie niliweka 28+ hapa nawait mtu yeyote apigwe iwe furaha kwangu
Kiufupi hali ni mbaya wazee wenzangu! Nataka nilale nimejitengenezea bomu maana internationals hazitabiliki.
Hii biashara imepitishwa katiba mpya?
Haki zetu zinalindwa kweli?
M bet wanaelekea kunitapeli tena!Jumapili walinitapeli elfu 20 kwan nilibet km saa 6 mchana (sev&chel washnde niliweka elf 10 na ikawa hvyo),then niliwapa r madrd&benfica both teams handicap na ikawa hvyo kwa elf 10 pia).Saa 2:30 usiku nikaweka elf 10 nyingine kwa napoli&psg washinde hapo nikapotea!J3 alfajiri wakan¨¬tumia receipt ya napoli&psg!Saa 1 usiku wanarudisha pesa yangu nilizoweka mapema ambazo ZILISHINDA.
My take jana nil¨¬weka ticket 4,1 ya mapema km saa 7 mchana na mpaka sasa hv sijapata receipt!Hiyo ticket inastahili kushinda.Nyingine 3 wameshanitumia ambazo zimeshindwa.NA�00NA UTAPELI WA WAZIWAZI WADAU.
M bet wanaelekea kunitapeli tena!Jumapili walinitapeli elfu 20 kwan nilibet km saa 6 mchana (sev&chel washnde niliweka elf 10 na ikawa hvyo),then niliwapa r madrd&benfica both teams handicap na ikawa hvyo kwa elf 10 pia).Saa 2:30 usiku nikaweka elf 10 nyingine kwa napoli&psg washinde hapo nikapotea!J3 alfajiri wakan¨¬tumia receipt ya napoli&psg!Saa 1 usiku wanarudisha pesa yangu nilizoweka mapema ambazo ZILISHINDA.
My take jana nil¨¬weka ticket 4,1 ya mapema km saa 7 mchana na mpaka sasa hv sijapata receipt!Hiyo ticket inastahili kushinda.Nyingine 3 wameshanitumia ambazo zimeshindwa.NA00NA UTAPELI WA WAZIWAZI WADAU.
Jana nimeanza vizuri. Mikeka ya leo wapi jamani
wape scotland na algeriaJana nimeanza vizuri. Mikeka ya leo wapi jamani