Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzee mwenzangu tupeane mbinu za kujiunga Sportspesa, nimeona wana odds nzuri sana kupita za Meridian.

Mimi niko DSM, kujiunga lazima niwe na mtandao wa Kenya?

Wao wanataka uwe na Orange, Safaricom au airtel Kenya. Mi nilijiunga kwa kununua line ya safaricom Kenya
 
Dah...laiti hela yangu ningenunua trainers za $30 yasingenikuta Haya..Hata Holland wananiua??
 
Dah...laiti hela yangu ningenunua trainers za $30 yasingenikuta Haya..Hata Holland wananiua??

Nimesumbuka ipata 5000 yangu Netherlands hadi sasa kaiondoa na kuniachia 200ksh yaani amenirudisha nilipokuwa. Daaah sirudiii tena leo ndo ilikuwa last time kujilipua na mtaji wote. Kesho nao siku, nataka niisogeze hii 200 hadi ifike huko kwenye ksh laki na usheee.
 
Dah...laiti hela yangu ningenunua trainers za $30 yasingenikuta Haya..Hata Holland wananiua??


wakuu tusi-bet kwa kuangalia ukubwa wa timu bila kuangalia timu anayocheza nayo, iceland wapo vizuri sana wameshinda gemu zao 2 zilizopita kwa ushindi mkubwa tu. hii gemu wa ku-win holland au iceland nilisita nikawapa gg, lakini natherland kashinda ku-score hata goli moja duh, good sikuweka mkeka nilijibeti kichwani tu. ningejua ningemuua natherland.
 
Nasubiri baadae niweke hela niwape waafrika wanipe mkwanja
 
Mkeka wangu wa leo ni huu hapa.
 

Attachments

  • 1413266432844.jpg
    31.6 KB · Views: 92
Mpira kwa sasa napumzika ,Narudi ktk horse racing Na greyhound
 
Watu 150 TUU
Tujiunge kwenye Group moja
La telegram ili tujumuikeni kwa
Kupeana mikeka na tips kabla ya game kuanza
Na tuwe online kwa notification
Usiwe ni mtu wakutegea na kutabiri ubovu
Kama una nyota ya punda
Usitake tukuadd
+255719173441
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…