Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo usiku nataka niweke 400ksh
Mzee mwenzangu tupeane mbinu za kujiunga Sportspesa, nimeona wana odds nzuri sana kupita za Meridian.
Mimi niko DSM, kujiunga lazima niwe na mtandao wa Kenya?
Wao wanataka uwe na Orange, Safaricom au airtel Kenya. Mi nilijiunga kwa kununua line ya safaricom Kenya
Okay, so kuhusu kudeposit na kuwithdraw huwa unafanyaje ukiwa Tz!
Dah...laiti hela yangu ningenunua trainers za $30 yasingenikuta Haya..Hata Holland wananiua??
Dah...laiti hela yangu ningenunua trainers za $30 yasingenikuta Haya..Hata Holland wananiua??
Nimesumbuka ipata 5000 yangu Netherlands hadi sasa kaiondoa na kuniachia 200ksh yaani amenirudisha nilipokuwa. Daaah sirudiii tena leo ndo ilikuwa last time kujilipua na mtaji wote. Kesho nao siku, nataka niisogeze hii 200 hadi ifike huko kwenye ksh laki na usheee.
Mi nasubiri j5 game za Afrika. Nawapa wote wa nyumbani
Mpira kwa sasa napumzika ,Narudi ktk horse racing Na greyhound
Mkeka wangu wa leo ni huu hapa.
Mkeka wangu wa leo ni huu hapa.
Mkuu hiyo b2 ndio imekaaje Mbona ina odds nyingi?