Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Wazee nisaidie nami niweze kiingia Online .. nafanayaje ..
Nimejaribu Landbrokes lakini kwnye adresa pale pamenitoa knockout ..
Ingia meridian
Deo najaribu kuingia inakataa .. sasa sijui ni kwann haisupport
Natumia
HUAEI Y 300.
OPERA NA PIA MOZILA IMEGOMA .
jaribu kutumia browser inayoitwa dolfin au ile inayokuja na simu.Inaniletea kitu cha namna hii ..
Deo najaribu kuingia inakataa .. sasa sijui ni kwann haisupport
Natumia
HUAEI Y 300.
OPERA NA PIA MOZILA IMEGOMA .
Yaaani Usitumie mpesa kuweka pesa inasumbua mpaka uwapigie kelele bora ukawekee kwenye vitawi vyao......
Naombeni kujua jinsi ya kutumia bonus au kubetia na bonus wakuu
mmmh mbona mnaniogopesha tena ...mm ni mgeni na mda si mfupi nimefanikiwa kupata account na niko kwenye preocessza kuweka hella , hapa nilipo niko kwnye kibanda cha mpessa nangoja pesaa iingie kwenye account na kisha niweke kwe meridia .... na huku niliko hakuna kabisa wakala yeyote wa betting yeyote...ni vyema kuacha au
Tatizo n kwamba ukiweka pesa meridian huwa inachukua mda mref had kuingia kwenye account. Ila kama wataka kuweka kwa ajil ya gem za weekend c mbaya waweza weka.
mmmh mbona mnaniogopesha tena ...mm ni mgeni na mda si mfupi nimefanikiwa kupata account na niko kwenye preocessza kuweka hella , hapa nilipo niko kwnye kibanda cha mpessa nangoja pesaa iingie kwenye account na kisha niweke kwe meridia .... na huku niliko hakuna kabisa wakala yeyote wa betting yeyote...ni vyema kuacha au
Wadau nimweka pesa meridian cku ya tatu hii haisomi na sms nlishafuta
mkuu game za basket naogopa kubet maana czielewi