Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kk naomba unielekeze vizuri c unajua shule zetu za kayumba
Sehemu ya kuweka kiasi cha hela ili uweplace bet yako juu yake kuna kitufe cha kuchagua kulipia mkeka wako kwa kutumia hela ya bonus(unit) ,au kutumia hela uliyodeposit..wewe kipeleke kitufe kulia ili uweze kubet kwa kutumia bonus..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…