Ndo hapa kuna 2000U?Sehemu ya kuweka kiasi cha hela ili uweplace bet yako juu yake kuna kitufe cha kuchagua kulipia mkeka wako kwa kutumia hela ya bonus(unit) ,au kutumia hela uliyodeposit..wewe kipeleke kitufe kulia ili uweze kubet kwa kutumia bonus..
Asante sana kkKwenye section ya Bet Slip kuna pahala panaashiria kama unalipia bet yako kwa kutumia Bonus au Pesa uliyo deposit. Chunguza vyema.
mkuu kuna mtu kaja PM au kwa sabab niliandika hivi?Kuna watu wajinga
Hivi mwanaume kabisa unaomba hela kwa mwanaume mwenzako
kama post yako ilinilenga mimi you are totally wrong. Kwasabb hilo sio ombi na sijawah kumwomba yeyote humu.nipe elf 20 tu leo nitengeze laki😀😀😀😀😀
Mimi nimewithdraw kupitia betshop yao..nilicashout online wakanipa code nikaenda bandani kuchukuaHakuna alie diposit au kuwithdraw PlayMaster Bet??
Kama inazingua bonyeza hapo kwe msg watumie wako faster wanajibu muda huo huohata mimi ilinigomea mara ya kwanza..
ila nilipochanganya herufi kubwa na ndogo pamoja na namba ikakubali
kama unatumia chrome badilisha browser labda tumia hata opera kisha anza mchakato upya ukirndelea kupata the same error basi tatizo litakua kwako kwa maana kwamba password unayoweka mara ya kwanza haiendani na unayo weka mara ya pili
ngoja nikupe format nzuri ya password
kwa mfano wewe unaitwa
Rafael wa Ureno
anza hivi r(weka hizo password)U kama hivi
r1234567U huo ni mfano tu kazi kwako
Ngoja niscreenshots nyingine tuzichungulie tuone. Naona leo Montpellier umemuamini na double chance kama nilivyomuamininyegere86, zinaleta odds 8.98 (moja ya Darlington imekuwa postponed) ... sio mbaya nikistake 10K hapa. Au kuna nyingine zinakuja?
SV Grun Weiss Brieselang - Brandenburger SC
Brandenburger SC Süd
1.37
X
FC Metz - Stade Rennes
FC Stade Rennes
2.06
X
Leyton Orient - Sutton United
Sutton United
2.11
X
NK Celik Zenica - Zrinjski Mostar
Zrinjski Mostar
1.16
X
SK Sturm Graz - SKN St. Polten
SK Sturm Graz
1.30
X
Odds: 8.98
Ngoja niscreenshots nyingine tuzichungulie tuone. Naona leo Montpellier umemuamini na double chance kama nilivyomuamini