Sikubaliani na wwTema mate chief.....tips zinatoka nyingi na zinazofeli ni nyingi pia,huwezi jua sisi tunaangukia kwa zile zinazofeli kwasababu hatuwezi weka mikeka yote kaka...mfano tip yako ya jana ya timu ya bunde 3....
Kaka mdogo ukizoza hivi husomeki kabisa....inamaana mwana wewe ni mzee wa matunguli kiasi mikeka yako ni sheria au??naona kama sijakusoma vile...hebu fafanua tafadhali.Sikubaliani na ww
Maana kuna watu waliomba niwe napost kila mkeka nnaobet.
Jana nmepost mkeka 6.
Miwili tu ndo alokuepo pardeborn.
Mmoja ulichanika dakika Za. Majeruh kwa timu 1 tu.
Mitatu nilikula pesa ndefu tu.
SASA NASHANGAA HAO HAO WALIOKUA WAKIOMBA NIPOST HYO HYO MIKEKA WANADAI HAWAJALA HELA.
Inasikitisha sana na inashangaza Pia.
Mkeka ule ule nile mm afu wao wakose.
Sometimes mpk nafkiria kua Labda humu jukwaani
Kuna watu kwa maksudi kabisa wanalalamika ili kuwakatisha tamaa wenzao ilhali wameshakula pesa.
INANIUMA SANA MKUU.
Sio hivyo kaka....jana niliweka mikeka miwili yote ikachanika ...nadhani nina bahati mbaya pia na tips za humu....kuna wale al dhafra sijui walichana piaSikubaliani na ww
Maana kuna watu waliomba niwe napost kila mkeka nnaobet.
Jana nmepost mkeka 6.
Miwili tu ndo alokuepo pardeborn.
Mmoja ulichanika dakika Za. Majeruh kwa timu 1 tu.
Mitatu nilikula pesa ndefu tu.
SASA NASHANGAA HAO HAO WALIOKUA WAKIOMBA NIPOST HYO HYO MIKEKA WANADAI HAWAJALA HELA.
Inasikitisha sana na inashangaza Pia.
Mkeka ule ule nile mm afu wao wakose.
Sometimes mpk nafkiria kua Labda humu jukwaani
Kuna watu kwa maksudi kabisa wanalalamika ili kuwakatisha tamaa wenzao ilhali wameshakula pesa.
INANIUMA SANA MKUU.
Hilo nalo neno.Sometimes miluzi mingi inapoteza mbwa pia kaka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nacheka siyo kama mazuri,dah hii kaz ngum sana, usione wengine hatuongei tunaumia moyon kimya kimya tu mkuu, ila ipo siku tu
Sometimes pita tu mkuu...hawa hawajawai kutwa na kitu inaitwa nuksi...Kaka mdogo ukizoza hivi husomeki kabisa....inamaana mwana wewe ni mzee wa matunguli kiasi mikeka yako ni sheria au??naona kama sijakusoma vile...hebu fafanua tafadhali.
Jana sijamuweka al dhafra kwny mkeka wangu wowote.Sio hivyo kaka....jana niliweka mikeka miwili yote ikachanika ...nadhani nina bahati mbaya pia na tips za humu....kuna wale al dhafra sijui walichana pia
MPE tot Leo anashinda
Sikulaumu kaka maana hujalazimisha mtu kufuata...ila naelezea tu namna kanji anavyonishughulikia...usijali kakaJana sijamuweka al dhafra kwny mkeka wangu wowote.
Nashangaa kwann unanilalamikia al dhafra alkuchania mkeka
INANIUMA SN KWNN UMEAMUA KUNISINGIZIA KWA HILI MKUU.
Sikubaliani na ww
Maana kuna watu waliomba niwe napost kila mkeka nnaobet.
Jana nmepost mkeka 6.
Miwili tu ndo alokuepo pardeborn.
Mmoja ulichanika dakika Za. Majeruh kwa timu 1 tu.
Mitatu nilikula pesa ndefu tu.
SASA NASHANGAA HAO HAO WALIOKUA WAKIOMBA NIPOST HYO HYO MIKEKA WANADAI HAWAJALA HELA.
Inasikitisha sana na inashangaza Pia.
Mkeka ule ule nile mm nile hela afu wao wakose.
Sometimes mpk nafkiria kua Labda humu jukwaani
Kuna watu kwa maksudi kabisa wanalalamika ili kuwakatisha tamaa wenzao ilhali wameshakula pesa.
INANIUMA SANA MKUU.
Sijui hat nifafanue nnKaka mdogo ukizoza hivi husomeki kabisa....inamaana mwana wewe ni mzee wa matunguli kiasi mikeka yako ni sheria au??naona kama sijakusoma vile...hebu fafanua tafadhali.
HakikaUsiumie mkuu endelea kushusha nondooz za kumpiga kanjibai.
Mitaji midogo ndo inafanya watu wapigwee kwa kuongeza matimu
Asante mkuu ila kamtaji kameisha kwa leo[emoji19]montpellier vs Metz (montpellier to win)
Legia vs Wisla (Legia to win)
braga vs belenenses (braga to win)
PSV vs ADO Den Haag (PSV to win)
Weka pesa ya kutosha hapo uhakika
Nlishatoa maelezo mengi sn khs timu za kuchagua wkt wa kubetia kona.Hawa man city watatoa kona 9 kweli dah...!
Sawa mkuu.....leo niliamua kufuata akili zangu za balimi maana za humu ziliniingiza cha kikeNlishatoa maelezo mengi sn khs timu za kuchagua wkt wa kubetia kona.
Rejea comments za nyuma, Kuna maelezo ya kutosha mkuu.