Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Hongera chiefHongera sana mkuu.
Mm huku clean sheet imenishinda leo.
Mpk sasa nmempiga mikeka 4 kati ya 5 nliyobet siku ya leo.
Uwo mmoja Kauchana Leicester city peke ake
Maana nlimpa over 4.5 corners first half, kashindwa kuzfkia.
LEO PESA ILKUA NJE NJE SANA MKUU.
Sema nje nje kwako....wenginee halii mbayaaHongera sana mkuu.
Mm huku clean sheet imenishinda leo.
Mpk sasa nmempiga mikeka 4 kati ya 5 nliyobet siku ya leo.
Uwo mmoja Kauchana Leicester city peke ake
Maana nlimpa over 4.5 corners first half, kashindwa kuzfkia.
LEO PESA ILKUA NJE NJE SANA MKUU.
Amina sana mkuu.Hongera chief
Mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaaSema nje nje kwako....wenginee halii mbayaa
HongeraView attachment 652571odd 12+ bet wooon
Hilo somo haliko mbali sn ukilitafta humu unalipataMkuu naomba Maelezo kidogo kwa timu za kuchezea Kona[emoji134]
Hilo somo lilinipita, Sijajua nitalipata page gani!
Help me hata kwa ufupi ufupi tu.
HongeraView attachment 652594 nausubili huu tu odd 14+ nifunge hesabu leo
mpwa vipi huko bana ule mkeka wa kona leycester alizingua lkn bigup naona wengine zimekubali. kesho usisahau kutupia tenaHilo somo haliko mbali sn ukilitafta humu unalipata
Maana jana tu nmetoka kulirudia kulielezea kwa mara ya 3 na kwa ufanisi, mifano na evidence zaidi.
Duuh! Hongera sana Mzee...Unachezaga Options zipi?
Hongera sana unakismat cha uhakika.
Ahsante sana wakuu leo weekend imekuwa mapenzi mubashara kwetu kuliko khanjiHongera sana mkuu.
Mm huku clean sheet imenishinda leo.
Mpk sasa nmempiga mikeka 4 kati ya 5 nliyobet siku ya leo.
Uwo mmoja Kauchana Leicester city peke ake
Maana nlimpa over 4.5 corners first half, kashindwa kuzfkia.
LEO PESA ILKUA NJE NJE SANA MKUU.
Ukiwa mjanja wa kuchagua timu kadhaa za kutoa pesa.Sema nje nje kwako....wenginee halii mbayaa
Mkubwa leo nilipitia tips zako lakini nikakiuka kwenye man city nikampa over 8.5, nimeona na jinsi wadau wanavyokutupia lawama lakini usivunjike moyo mchango wako ni muhimu na kitu ambacho wadau hawaelewi huu ni mchezo tu hauhitaji kuwa serious sana ukila heri ukiliwa chukulia normal au pigs moyo kondo angalia mbele. Mkuu mchango wako ni muhimu sana tabia za waswahili zizoee lawama ndo sifa yao kuuHilo somo haliko mbali sn ukilitafta humu unalipata
Maana jana tu nmetoka kulirudia kulielezea kwa mara ya 3 na kwa ufanisi, mifano na evidence zaidi.
Mzee wa kokoro.View attachment 652579kama kawa odd 90+ timu moja valencia amekuwa wakala wake
umeeleza vyema mkuu....kwa pamoja tutafanikiwaUkiwa mjanja wa kuchagua timu kadhaa za kutoa pesa.
Utafuirahia sana betting.
Ila ukiwa mtu wa kubet KWA matukio, tamaa na woga.
Basi pesa ya Muhindi itakupita kushoto mara kwa mara.
KUBET KWA MATUKIO
Hapa namaanisha wale WENYE tabia ya kuskia kwa mfano EPL kuna man city na Arsenal wanacheza
Hapo ndo anaenda mtu anaenda kubet KWA ushabk akiamin lazima timu yake ishinde.
Au kwa sababu haipend arsenal ndo anaamua kuiua kwny mkeka.
TAMAA
Hapa namaanisha wale mabingwa wa kutaka mafanikio ya haraka haraka.
MF: mtu anatia 500 Tsh afu anatandaza maturubai kibao yenye mlolongo wa mechi 12-15.
Maturubai yote ukiangalia utakutana option ngumu ngumu tu km 1/2 au 2/X.
Ukicheck mechi zote unakutana na Odds za 2+ per each match.
Ukicheck jumla ya odds unakuta ni 200+
Afu mtu anakaa kabisa anayasubir mamilioni.
MWISHO WA SIKU
HAPO MTU ATALIWA SN NA MWISHO ATAKATA TAMAA NA KUUACHA HUU MCHEZO.
UOGA
Hapa naongelea wale waoga wa kuweka stake.
Utakua mtu stake zake ni 1,000- 10,000 mwisho.
Huyu mtu ata akiwa anakula hawezi kuipata ile ladha halisi ya ela ya mkeka.
MF: mtu atakutana na tip inaodd 2.5 ataipiga chini
Kwa maana atajua kua akiweka 1000 na akala 2500. Faida 1500
Basi ana conclude kua faida ya kurisk 1000 kwa faida ya 1500 basi haina hata maana.
Ila Anasahau kua angetia Laki 1 angetoka na Laki 2.5, Faida laki 1.5
Ambayo ina maana SANA hasa ktk matumiz ya hapa na pale.
NI HAYO TU MKUU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji119]Inter ni sawa na Jambazi aliyeenda vamia bank na kisha kuiba rubber band alafu akaaacha PESA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]