Kabisa mkuu kwangu mimi kokoro haliepukiki....ninakuwa nayo ya odd mbili mpaka kumi mwisho....hapa stake 10,000 na kuendelea..basi wewe ndo kama mimi nakua na mikeka ya kuiamini na mikeka ya bahati tu yani ili mradi.
ukiweka moja tuu ulete milioni kwa jero unaweza kuliwa hata kwa miezi mitatuhivo ndo inatakiwa tatizo kuna wengine kila siku wanalia hum kuliwa kwa sababu ya kutaka malaki kwa jero
Mkubwa ligi zote kubwa kuna option ya kona unaweza tuchambulia mambo alaf kuna hii option ya 1to 10 minutes tunaomba vyuma natafuta hela ya kulipia hati yangu imekwama wilayani na afisa amekomaa anahitaji ya chaiMkuu Trouble
Nasuka mkeka wa Odd 2.0 mpk 2.5
Tuamke na hela ya supu na balimi 2 kesho asbuhi.
poa kuna wa new zealand huwa wananyukana kishenziMkuu Trouble
Nasuka mkeka wa Odd 2.0 mpk 2.5
Tuamke na hela ya supu na balimi 2 kesho asbuhi.
over 3.5 alikuwa na odd 3+ nashukuru imetokaHuyu Inter Milan leo hajatuacha salama wengi wetu mamaeee ... Montpellier jembe langu nalo leo hoii ... doooh !
View attachment 652756
au na yeye kaenda kuziuza teh teh teh. {joke}Huyo jamaa sjamuelewa kabisa.
Mm mwnyw nlimpa tip 2 za uhakika na zimetick.
Ila jamaa baada ya kubeba tips ndo kapotea moja kw moja.
MrejeshoHapa odd mbili mpaka kumi hukosi
View attachment 652189
Mwingine huu odd mbili mpaka kumi hukosi
View attachment 652190
Cc: Afande Nyati BALOTEL
True kabisa Kaka, tatizo tamaaaaaaa, na kuona timu zote zinashinda kirahishivi mtu unashindwaje kuanza na buku 10000 uukuze mtaji mdogo mdogo. kuliko kupoteza kila siku jero jero zako
yani mtu siriasi kabisa unatafta odd 3+. unatia buku mbili umekosa nini buku sita. ikitiki mitatu kati ya mitano una 18000, 18k mara 5. si tiari mtaji wako umekua
halafu wamekosa penartRoma ndio hvyo tena. Kashikilia hela
Kwa mwenendo huo, utajenga nyumbaHali sio mbaya sana mkuu
Nmeshamkuja Muhindi mikeka 4 ya nguvu worth of 468K
55k - ule wa alfajir
102k - ule wa ligue 2 France
101k - ule wa kina intermilan
210k- ule wa kina Cardiff
TOTAL: 468k
Asinge uchana ule mmoja Leicester, ningekua nmempiga jumla 674k kwny mikeka yote 5 ya siku ya leo
Maana ule ulkua na worth of 206k
THATS IT,HALI SIO MBAYA SANA MKUU LEO.
90+ GOALAS Roma 1 - 0 CagliariRoma ndio hvyo tena. Kashikilia hela
Pesa imekubali kwenye dying minutes. MUNGU kweli yupo aiseehalafu wamekosa penart
BET WONAkron Zips vs Mississippi
Valley State Delta Devils.
Gan anasema
Akron Zips vs. Mississippi Valley
State Delta Devils, match in ncaa, i
pick under 146,5 points here, hosts
had some big overs recently but on
totally different match-ups, vs.
mississippi delta devils they are likely to dominate, guests have one
of the worst offenses, they scored
62 points or less in 9 out of last 10
games played, their last one ended
with jut 122 points. hosts on this
type of match-ups usually focus more on offense than on defense,
they had under at that line in 6 out
of last 8 home games played, at
this line value on under.
Odds 1.89