Ha ha ha.....
Hayo matokeoBrisbane Roar W 2 - 0 Melbourne City W
hawa nao wanataka zingua sasa
teh teh teh mana mwingine anaweza ukopy akaliwa akarudi na mapovu. anasahau kwamba na wewe binadamuHa ha ha.....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umenchekesha sn mkuu
Safi sana kw kutoa precaution
Stay blessedThanks
dah nataka gg. yani najuta tena ningewapa 2nd half most goals ningekuwa sina pressureHayo matokeo
Tayar kwangu ni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo usalama Fanya 70%
Stay blessed
Mkuu Kuna haka kautaratibu kengine cjakaelewa ninapotaka kubet wanaandikaStay blessed
Kula supu Usisahau kubadilisha kampuni hamia kwenye makampuni yenye Options nyingi kidogoWeshaniwekea teyar hpa
hofu kubwa ni kwa game ya sampdoria na man united. wanaweza maliza 0-0Hapo usalama Fanya 70%
Something smells fishy
1 -chaguo husika kwa home teamMkuu Kuna haka kautaratibu kengine cjakaelewa ninapotaka kubet wanaandika
Mfumo 1
Mfumo 2
Nini maana yake?
Possiblehofu kubwa ni kwa game ya sampdoria na man united. wanaweza maliza 0-0
Subiri mpaka saa nne hao wanachelewa sana kulipaView attachment 652832View attachment 652833View attachment 652834View attachment 652835View attachment 652836View attachment 652837wadau Jana nimweka pesa katika wallet yangu kisha nikabet lakin mpaka sasa naandikiwa winner payment pending na pesa yote katika wallet wameshakata
Adui mkubwa wa betting ni tamaa. Yawezekana unataka upige 1m kwa buku, Hyo huwa inatokea kwa nadra sana.waku naombeni msaada wa hizi betting maana sijawahi kushinda yani niseme sasa napumua na mshiko najihisi kama nina mkosi . please naombeni hata mnipe hints tu vitu vya msingi vya kuviangali katika kutia mikeka inafikia hatua najichukia kupitiliza hasa ninapokosa, ahh imekuwa too much bwana *****
Mkubwa corners vipiPossible
Mkubwa corners vipiPossible
M-bet unaweza kushinda leo jumapili ukalipwa jumatanoView attachment 652832View attachment 652833View attachment 652834View attachment 652835View attachment 652836View attachment 652837wadau Jana nimweka pesa katika wallet yangu kisha nikabet lakin mpaka sasa naandikiwa winner payment pending na pesa yote katika wallet wameshakata
mkuu thanx kwa maelezo yako ila tatizo hata gizo tatu au mbili au nne ni nadra mno kushinda mfano kuna siku nimeweka mikeka miwili siku tofauti tofauti cha ajabu unakuta mkeka mechi moja inaniharibia na ukiangalia anaweza akawa home na ameshamshinda mara nyingi lakini siku anapigwa hapo ndipo ninapohisi au nuksi nini.Adui mkubwa wa betting ni tamaa. Yawezekana unataka upige 1m kwa buku, Hyo huwa inatokea kwa nadra sana.
Cha msingi cheza option rahisi kama over 1.5 au kona over 8.5 kwa ligi ya Uingereza, Spain, Italia na Ujerumani.
Kwa mfano, PALACE ni uhakika sana kila match kutoa over 8.5 maana ZAHA na TOWNSEND wanapenda sana kukimbia na mpira kwenye mashavu ya uwanja halafu wanapiga cross ambazo mabeki waki-block zinakuwa kona.
Kimsingi ukikuta timu zina uwezo wa kufanana mara nyingi kona zinatoka nyingi sana maana haziogopi kushambuliani. Mathalani match ya leo kati ya GIRONA na GETAFE tegemea kona nyingi sana.
Kumbuka match zinapokuwa nyingi sana unajiandalia mazingira ya ku-lose mkeka wako. Mimi siku hizi naweka timu 1-4 na sikozi hela za kununua umeme, maji, DSTV BOMBA n.k