Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji1] [emoji1] [emoji1] samahn wakuu nilikuwa nimelala nimechanganya thread
Ha ha ha.....

Pole sn mkuu,

Yaan ndo Ulijisau kabisa kua uko Jf

Kwa hyo mkuu,
Ndo ukawa unajihisi kabisa upo uwanja wa sms unachat na shemej yetu au?
 
betting is a unpredictable ila siku ikikufikia umeotea ndio siku yako kwa hiyo we beti unavyoweza tumia akili yako maana hakuna nabii anaeijuwa itakuaje mbele
 
Karibu sn mkuu,

Najua hang over ya balimi za jana, ndo maana umechelewa kibaruani.
Jana nilijidunga chupa zangu nne chumbani mwezi huu si wakienda kuketi na marafiki bar mnaweza tiana ujinga mkatakatisha fedha pale kumbe wenzako walishamalizana na vijana pale tu term ya mwisho ilipoisha
 
Wajuvi wa princessbet nimedeposit pesa toka asubuhi hadi sasa sioni chochote hawajui sisi wengine ndio ajira yetu! wanataka kunilaza njaa hawa.
Namba yao yenyewe nikipiga naambiwa nimekosea
 
Boss kwan
Bet365
Williamhill
Ladbrokers
Izi zote ni international betting coy
Na hazija sajiliwa tz ila still kuna watu wana zitumia inakuaje ww una sema 1xbet haija sajiliwa bongo na Mr. Q apo ame tuonesha sms muda mfupi baada ya kutoa pesa imekubali??
Au ww uliitumia kipind cha nyuma ndo uje kuconclude kwamba iyo kampuni haifai na haija sajiliwa bongo so una taka tutemane nao??
 
Wajuvi wa princessbet nimedeposit pesa toka asubuhi hadi sasa sioni chochote hawajui sisi wengine ndio ajira yetu! wanataka kunilaza njaa hawa.
Namba yao yenyewe nikipiga naambiwa nimekosea
Refresh home page.
 


Aksante sana mkuu, ila kujazia rekodi ya Aguero kwa Watford inatisha mno + sterling
 
Honestly,
Sijawahi itumia kabisa hyo kampuni.

Ila hayo nlosema ni maoni tu ya wadau mbalimbali.

Wadau wengi ambayo Nmekua nikuona comment zao humu humu kwny Uzi wetu huu pendwa wa betting khs hyo kampuni.

NDUGU YANGU,
NAOMBA NIELEWEKE HIVO TAFADHARI.
 
Jaribu kutoa hela kama unaweza
Mbona sisi wengine tunatoa na kuweka... nyie tatizo liko wapi..?
Btw hakuna anayelazimishwa ni hiari ya mtu...
NB: mimi sio wakala/marketing manager wao msijeanza kusema nawapigia promo..! La hasha najaribu kushare experience yangu kwa hawa jamaa...
 
Aksante sana mkuu, ila kujazia rekodi ya Aguero kwa Watford inatisha mno + sterling
Ha ha ha ha kila la kheri Mkuu....nakukumbusha uyo Aguero hafungi bila kupewa assist na hao watu ambao wengine muhimu leo hawamo, all in all hii ni betting
 
bet 365 ndio kampuni bora kabisa ya kubet....una watch mechi live huku unabet na option za kumwaga
 
Mm mwny nmewastuka hao wadau.
Ndo maana nmebet first half.

"1st half-Not both team to score"
Mkuu hii game akicheza Aguero na Sterling inatosha sana, jaribu kuangalia rekodi yao kwa Watford
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…