[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Betting vidonda vya tumbo samahani
Mkuu vimetoka vikapu 25 tu kwa hiyo ni under
Mkuu mara nyingi mechi huwa naicheki live.
Na kama siicheki live kuna akaunti ya nba twitter huwa inatoa statistics za game inavyoendelea ni hayo tu mkuu
Wanawake hao
Chelsea v Arsenal Total Goals - Over/Under 2.5 Over 2.5 goals
Finland FM-sarja women basketballLigi gan hyo
Slot No.1
Celta de Vigo - Real Madrid
RC Celta De Vigo (Handicap 2-0)
1.73
Sorry!!Niko njiani nasafiri kurudi Dar(na drive)sasa hata kuchambua nashindwa ila kwa haraka haraka nimetupia mojaLeo slot vipi mkuu?
Inaitwa hivyo hivyo NBA inanisaidia sana inplayAccount inaitwaje mkuu?
MKEKA No.2
Odds: 2.25
Stake: 45k
Marejesho: 101k
Mapambano yanaendelea
Nb:
uyo wa kwanza NI football- Cyprus
Uyo wa pili NI volleyball-italy
Uyo was tatu NI basket-usa
View attachment 670315
Yeshao wa volleyball ni women?
ok ngoja niwaweke
ok mkuu sasa nasubiri inplay kutoka kwako
in play nyingine
Spurs v AFC Wimbledon( First Half Result Draw 1.67)