Mkuu msaada wa jina la hiyo live scoreDuh,
Kwa form hii ya Cottbus both home and away matches kwa mfururizo.
sijaamini kabisa kama ndo uyu uyu ambae keshagongwa 2:0 mpk HV sasa.
Nnaimani atabounce back, kwa kufanya sub za maana
coz namuona Leo wamewapumzisha mastaa wao kibao na baadhi wako sub.
View attachment 672561
Maoni ruksa mkuu.Naelewa, nimeshauri kwa nia nzuri tu.
Nakumbuka kuna mkeka alichana Zamaleck, kipindi cha kwanza alitoa draw hlf kipindi cha pili akafungwa.
Mkeka mwingine nakumbuka alichana km siyo Appolon ni Doxa, alitoa draw first half na second half pia ikawa draw.
NB: Sijalalamika na sina tabia hiyo, binafsi nashukuru kwa michango yako.
Ila sidhani kama nikiobserve kitu kama hicho siruhusiwi kutoa maoni?
FlashscoreMkuu msaada wa jina la hiyo live score
Ilo ni kweli mkuu.Hii naona iko poah kabsa
Aiseee ina afadhali tofaut na direct win
Maana direct win tim inashinda fisr
Half af 2nd half inadraw au kupgwa
kabsa
Bora hii option ikishinda fisr half
Af 2nd half ikidraw Bado unakua umewin
ShukranFlashscore
Huu mkeka mzur sana.Pesa Mingi Namna hii
1. Chelsea fc over 8.5 kona
2. Real Madrid to score in both halves
3. Villarreal under 12.5 kona
4. Stade Remes over 8.5 kona
5. Paris Saints G to score in both halves
6. Ccc Polkowice under 140.5 pnts
ODDS 8.328
Tuko pamojaShukran
Hii pesa ingawa hao wa mwisho siwajuiPesa Mingi Namna hii
1. Chelsea fc over 8.5 kona
2. Real Madrid to score in both halves
3. Villarreal under 12.5 kona
4. Stade Remes over 8.5 kona
5. Paris Saints G to score in both halves
6. Ccc Polkowice under 140.5 pnts
ODDS 8.328
Mkuu,Macae kaingia uwanjani muda wa mapumbu kubanwa umetimia
Ni kweli mkuu, kila bnadam ana mapunguf.
Na mm pia ni mmoja wapo.
I accept it.
Nambie, Najichanganya wapi mkuu?
Ufafanuz tafadhali
Au tatzo langu ni swali nlilomuuliza hilo swali?
Panathinaikos ndio amebakia kwa mkeka mwingine akishinda mambo yatakuwa mazuri sana...Mkuu,
Mbona hii mechi macae anashnda bila wasiwasi kabisa.
Macae kamzd hyo mpizan wake kila kitu.
Mpk kwny msimamo amempita parefu tu.
Pia macae ni mzur san both home & away.
Na yuko form sn kipind hiki ukilinganisha na mpinzani wake.
RELAX KABISA MKUU
TENA,
HII MECHI UNATAKIWA KUAGIZA KABISA BALIMI 3 na Mbuzi kilo 2 HUKU UKIICHECK LIVE.
Baada ya mechi unawithdraw na kulipa bill.
Hii kasi ya kona za villareal ni balaaHuu mkeka mzur sana.
Macae 2-0 America RJ halftime mkuu ahsante kwa kunitia moyoMkuu,
Mbona hii mechi macae anashnda bila wasiwasi kabisa.
Macae kamzd hyo mpizan wake kila kitu.
Mpk kwny msimamo amempita parefu tu.
Pia macae ni mzur san both home & away.
Na yuko form sn kipind hiki ukilinganisha na mpinzani wake.
RELAX KABISA MKUU
TENA,
HII MECHI UNATAKIWA KUAGIZA KABISA BALIMI 3 na Mbuzi kilo 2 HUKU UKIICHECK LIVE.
Baada ya mechi unawithdraw na kulipa bill.
Jamaa anatisha sana huyu mtuMacae 2-0 America RJ halftime mkuu ahsante kwa kunitia moyo
Mtaji wa kuanzia kiasi gani na kwa mkakati upi?Nakufatilia kinoma ila kuna sehemu hua unajichanganya kama binadamu hua hakosi mapungufu. Mie mwenye nimeanza betting 2011 ila kuna vitu ume improve kwangu. Sasa hv naona umeshanipiku kabsa. In short upo vizuri. Kukosea kupo tu jamani let us relax and enjoy our betting. Ngoja niwambie, kama unamtaji for sure hakuna biashara simple na yenye pesa fasta kama betting.