Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa mkuu kama tatizo ushaligundua KUA ni kupata goli nying za mapema .

Yanini sasa unitupie lawama mm

eti
"Wewe deepPond Ulisema psg na chelsea ni wazur wa corner mechi imeisha na corner hawajatoa"

Kwani mm ndo nilisababisha hzo goli za mapema?

Kwani mm ndo niliwashika miguu PSG na chelsea waache kushambulia baada ya kupata goli za mapema?
 
Just relax, acha panic na KUA na imani thabiti kwa kile ulichobet.

Hakuna kitu kinashndkana palipo imani thabiti.
Villarreal wanazo kona 11 hadi sasa inamanisha bado kona 2 mkeka uchanike mkuu hapa kupanick mixer tumbo kuuma kupo.
 
Pole sana mkuu. Usijali, acha tuendelee kukuwakilisha kwenye hii vita ya uchumi.
Mkuu mkeka bado maana tunahamia kwenye kikapu soka ligi bado hazijachanganya miyeyusho tu odds nazo kiduchu ila huku uhai upo upo bana
 
Hizi timu nyingine za ki3enge sana sasa Villareal hizo kona katumwa na nani 13 kona 75 mins now and BET LOST....ila tulijichanganya wenyewe tulishindwa kuconsider matokeo ya first leg yapoje na pia tukashindwa kudetermine how tough the opponent is so Villareal anatafuta matokeo kwa namna yeyote na ndio sasa amefanikiwa kutulaza njaa *****
 
Take easy.. lengo langu lilikuwa kama kukupa tahadhari sasa inaonyesha kama vile imekuwa ngunguri na ngangari hapa. Mie nimeshakubali analyisis yangu ya corner bado ipo chini ndo maana nimerudi darasani kukariri mwaka tena huku nikitembea sambamba na mikeka yako.
 
Villarreal wanazo kona 11 hadi sasa inamanisha bado kona 2 mkeka uchanike mkuu hapa kupanick mixer tumbo kuuma kupo.
Amefkisha 14 yan mpinzan hana
Hata moja

Defense ya Villarreal iko vzr sana
 
Sasa km takwimu zmetenguka ,

Yann lawama za kuchanika mkeka wanitupie mm?

Kwani mkeka huo huo nlioshare kwa kupost humu unapochanika,wanaumia wao tu?

Au Mimi ndo hainiumi stake nloweka au?

YAAN HAWA NDUGU ZANGU WANAVOLALAMA NI KANA

KWAMBA MM NLIFANYA KUSUDI ILI NIWAINGIZE MKENGE ILI MIKEKA YAO ICHANIKE.
 
Mkuu yaan nakukubali sana kwan makosa yapo tu hata kuna mikeka humu mitatu umetuwekea na yote imechanika hivyo huyo jamaa hapaswi kukulaum hata kidogo chamsingi tutafute njia ya kumpga huyo muhindi wanae msema kubet si swala la kispot spot et.
 
Kuna kesho pia, villareal ni watu wa corner sana hata ueropa walikuwa wanatiririka na corner baraa.
 
Villarreal wanazo kona 11 hadi sasa inamanisha bado kona 2 mkeka uchanike mkuu hapa kupanick mixer tumbo kuuma kupo.
Relax mkuu...

Utajiletea presha za bure, hii kazi haihitaji panic.

Imani yako ndo itafanikisha ulichobet mkuu.

Nliwah wabetia inter Milan mwaka Juz akicheza na Roma.

Nliweka over 10.5 corner full time

Mpk halftime haijapwa corner hata moja.

Mpk DKK ya 55 imepigwa corner moja tu.

Mpk DKK ya 80 zmeingia corner 4 tu.

Mungu mkubwa full time score board ilisoma corner 13
 
Sasa wewe unachanganya madesa. Mie simulaumu ila tulikuwa tunawekana sawa tu kuongeza ufanisi wa business. Hata matajiri wakubwa duniani hukutani kufanya tathimini ya biashara zao.
Mkuu yaan nakukubali sana kwan makosa yapo tu hata kuna mikeka humu mitatu umetuwekea na yote imechanika hivyo huyo jamaa hapaswi kukulaum hata kidogo chamsingi tutafute njia ya kumpga huyo muhindi wanae msema kubet si swala la kispot spot et.
 
Sio kwa povu zito ka hilo
 
Villarreal anawastani was kupiga corner 4.7 kwa kila mechi anayocheza

Laspalmas anawastani wa kupiga corner 4.4 kwa kila mechi anayocheza.

Kwa haraka haraka hapo, utapata wastani was corner 9.1 mechi yao ya head to head.

Kwahyo,
Kitendo cha Leo kupiga corner nyng kias hicho, ni jambo LA ghafla sana.

NA HALIKUTEGEMEWA KABISA.
 
Hawaelewi hao ila mikeka uliyo tupa ikishinda unasikia wooooon woooon lakn twende taratb tu mkuu kila mmoja na matatzo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…