Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MKEKA No.2

Odds: 1.55

Stake: 200k
Marejesho: 310k

NB:
-Uyo wa kwanza ni football- friendlies
-Uyo wa pili ni hockey-norway
-uyo wa tatu ni basket-croatia

WEKA STAKE MLIMA

Mapambano yanaendelea
View attachment 673185
Update....
Lille hammer anaongoza 2:0 halftime.

Ili mkeka uchanike , Sparta anatakiwa ampige Lillehammer goli 5:0 second half.

Kitu ambacho ni kigumu sn kutokea kwa DKK zilizobak

SO FAR, SO GOOD

MKEKA No.2 unapumua vzur
 
Wakuu,
Duh, yaan kuna timu zinapiga kikapu ni balaa.

Yaan ukishatia hela ako, unarelax kabisa.

Huku ukishushia balimi baridi safi kabisa na kitimoto kilo 2 ,

Ukisubir tu mkeka utick ukalipie bill.

Huyu cedevita mpk sahv anaongoza kwa diff ya vikapu 30+

TIMU KAMA HIZI NI HATAR SANA KWA AFYA YA MUHINDI
 
Mkuu Hongera sana naona hii ishakuwa biashara unapiga mhindi hadi si vizuri....

Na mapambano yaendelee mkuu....
 


Nimeuchelewa mkeka namba 2
 
Deep point. Wew ni fast learner. Juzi Juzi tu ulikuwa unalia lia na unaogopa kutia hela kweny basketball. Sasa hiv umesha kuwa mkongwe. Hakika wew ni genius.
 
Update.....

Lillehammer anaongoza 3:0 second break.

Ili mkeka uchanike, inabd uyu kibonde Sparta amfunge goli 6:0 kwny DKK zilizobaki.

Kitu ambacho ni Very impossible.

KWA TIMU KM HIZI ZA LILLEHAMMER

AFYA YA BIASHARA YA MUHINDI LAZIMA ITAKUA MASHAKANI
 
Deep point. Wew ni fast learner. Juzi Juzi tu ulikuwa unalia lia na unaogopa kutia hela kweny basketball. Sasa hiv umesha kuwa mkongwe. Hakika wew ni genius.
Ukiiona fursa ni vema ukajituma sn kuifatilia.

Betting is my official 2nd hand business.

Naitumia kupata hela ya kula na matumz ya hapa na pale.

Pia inanisaidia kukuza mtaji wa biashara yangu ya duka la hardware pamoja na duka langu jipya LA electronics

Lazima nijitume sana wanangu wasilale njaa mkuu.
 
Hahahaha dah mkuu kidogo kidogo business yako inapiga hatua,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…