Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tuna tatizo la watu kutojiamini kwa mfano kwa tipster wanazo toa forebet hata wewe kama una web yako na una fanya utafiti wa maana unaweza ukawa na green nyingi kuliko wao, bora ya humu tunakutana wote wenye maslahi yanayo fanana
Well said.

Hzo tip za kudownload kuna tip ukiiangalia unaona kabisa hili ni Bomu LA nyuklia.

Forebet wanatip mbovu haswa.

Mpk huwa nawashtukia kua huwa wanafanya kusudi tu ili watu wapigwe PESA.
 
Download App ya 1xbet utambae na mzigo, hawana mambo hayo kama odd imefungiwa uona kufuli
 
Asante mkuu lakin hapo basket wameongeza wameweka over 163.5 (IOT)
Mi nmeamua kwenda nayo ivoivo tu mkuu dah hahaha si kama tofauti ya 3 tu apo daah ...maana ile ya mwanzo over 160.5 nahisi waliitoa tho odd haikubadilika
 
Mi nmeamua kwenda nayo ivoivo tu mkuu dah hahaha si kama tofauti ya 3 tu apo daah ...maana ile ya mwanzo over 160.5 nahisi waliitoa tho odd haikubadilika
Nani aache hela? Nmeenda nayo na mm mazima watajua wenyewe king atuchanganye na princess bet ala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…