Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Vijiteam vdogo huwa vina hasara yake....Ona hapo shots 27, On goal 8 na hawana goal, wenzao 2 shot 2 goals and game OVer
 
1. Hawana makato
2. Deposit procedure
Ukishakua umetuma pesa kwenye namba yao utanakili pembeni nambq ya muamala utaijaza mwishoni kwenye Transaction ID
Uki kliki kwenye ukaunti yako
Utaenda kwenye top up kisha uta select hicho cha kijani ili ionekane mitandao yote ya kibongo utachagua mtandao wako ila sio lazima sana (Unaweza kuchagua mtandao wowote wa kibongo) maana huko mbele itakupa nafasi ya kuchagua mtandao wako







Itaingiza kiwango cha pesa ulichokituma










3. Utapomaliza kujaza pesa inakua imesoma kwenye akaunti yako

4. Kutoa inachukua kuanzia dk 10 na kuendelea

7. Huduma kwa mteja

 
Kwahyo hyo number MP180118.2350.B40751

Ndo kisha tunakwenda kupaste hyo no kwny space ya reference no kwny app?

au inakuaje mkuu.

Ufafanuz tafadhar
Yap iyo ya kwanza kabla ya imethibitishwa ndio inaenda kui paste kule kwenye app
 
kudepost 1×bet
kama unatumia app, click juu pameandika "top up" karibu na account yako.
then itafunguka, shuka chini changua mtandao husika unaoutumia kudepost( kwa uzoefu wangu tumia voda kwangu naona ndo safi zaidi).
baada ya kuclick kwenye mtandao husika itakwambia ujaze kiasi (tumia njia hii inayoanza kwa kujaza kiasi, usitumie njia ya kujaza kiasi then namba ya sim harafu ndo utumiwe SMS, hapana hiyo nja some time inasumbua) tumia njia ya kujaza kiasi then itakuja dusupay
baada ya kujaza kiasi utaclick utakuwa umeingia kwenye mfumo wa kutuma pesa kwa njia ya "dusupay"
baada ya hapo dusupay itakuuliza ni mtandao wa nchi gani unataka kutumia.
hapo click "mobile Tanzania" itafunguka then utaseleck Vodacom Tanzania/m. pesa.
baada ya hapo minimize/home Barton nenda kwenye mfumo wa kutuma hela kawaida @ mpesa... *150*00#
bofya 4
then bofa 4
janza namba ya kampun 400700
jaza namba ya kumbukumbu "008dusupay" (usiache space kati ya namba na maneno)
baada ya hapo utaletewa ujumbe wa mpesa (muamala)
kopy namba ya muamala wako, rudi kule kwenye depositing ukakamilishe muamala ile pesa Isome kwa account.
....OK click pale chini pameandikwa "complete order"
baada hapo itakuonesha sehemu ya 1 jaza namba yako ya sim uliyoitumia kutuma pesa( mfano 2557620782***)
2. jaza ulie muamala ulioukipi.
3 jaza jina lako unalitumia mpesa
4. jaza email yako
5 CONFIRM!!
HAPO UKI'REFRESH TAYARI PESA YAKO ILISHAINGIA CHAPU BILA TATIZO!! SAMAHANINI KWA MAELEZO MALEFU WAKUU
 
kwenye hiyo nba mbili to be specific ni namba ya muamala inayokuja na sms ya uthibitisho wa malipo

kama hivi

5AI71443SQ6Imethibitishwa
tarehe 18/1/18 saa 7:37 PM
Pokea kiasi cha Tsh5,000.00 kut
Salio lako jipya la M-Pesa ni Tsh

hiyo inayo anza na 5A
na inajazwa pale kwenye space iliyo andikwa
transaction Id revealed..
 
Nmefanya yote hayo mkuu.

Hebu nisubir nione km itasoma .
 
Nmeikopi hii km ilivo

Au nmekosea kuanza na MP?
View attachment 679222

pia kuna mdau kasema kwenye kwenye namba ya kumbukumbu huachi space

kwangu mimi huwa naacha space na inakubali sasa sijajua kwa wengine ipoje.
 
muamala ni huu hapa >>>5AI71443SQ6
 
Good!!Thanks alot man, hiki ndio nilikua nakitaka
 
Kuna kitu wengi mnakichanganya kuhusu hayo makato ya Kudeposit, Wanaokata hizo pesa ni mtandao wako wala sio hizi kampuni za betting, sasa kibongo bongo ni airtel pekee hawana makato ya kulipia bill, so ukiwa airtel utasahau habari za ku deposit na kukatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…