Mkuu ulichungulia stats za hiyo game?In play bet
Man utd apige mashuti mengi golini
(Man utd most shots on target)
Odds: 2.02
Mapambano yanaendelea
View attachment 680724
You nailed it mzeeKutokuwahi ku lose hakuifanyi Betting option yoyote iwe 100% Mkuu, labda kama mnatengeneza discussion za kubishana. LOSE or WIN there is No 100% option katika huu mchezo. Ingelikuwepo nadhani kila mtu angeikimbilia na hawa wenye makampuni wangefunga biashara kwa kufilisika. 100% itawezekana kwenye fixed match tu sabab team zote zitakua zimekubaliana kupanga matokeo
How....ulimpa afungwe....duuArsenal kasepa na mtaji
Huu lost
Pole mkuuLeo nilicheza mechi tatu mikeka mitatu tofauti First half over 0.5 zote nilistake 500K per each.
Chelsea, Arsenal na Man U.
Mtaji umeshapona nasubiri mechi ya Man U, hlf kwa leo nitakuwa na furaha isiyo na kifani
ahahah sasa tufanyeje mkuu japo huku ndio nyumbani siwezi kupasahau mazima 1xbet ni kwa ajili ya inplayMlio tukimbia princess Mungu anawacheki mjue.
Mkuu acha kabisa.....hiyo imenitokea kwa Chelsea.... Halftime ana kona Saba....cha pili sasa....hazijafika tisaHa haha...kaaaaz kwel kwel kuna wajerumani mpaka HT wanakona saba, cha pili hawajapiga kona hata moja na wapo dk ya 80
Mkuu nmekosa sapoti kabisa ndio maana napigwa mpunga everydayahahah sasa tufanyeje mkuu japo huku ndio nyumbani siwezi kupasahau mazima 1xbet ni kwa ajili ya inplay
Wolves wamekuaje jamani daaah
****Bet wooooon******
Sio mbaya,Leister kafunga kwa kichwa da
Huu lost
YesMkuu ulichungulia stats za hiyo game?
Nimewaona hao wolfsburg walichokufanya...poleHa haha...kaaaaz kwel kwel kuna wajerumani mpaka HT wanakona saba, cha pili hawajapiga kona hata moja na wapo dk ya 80