Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

All the best waliojaribu...
At least aikuwa satd mbaya kama zingine
 
Ha ha ha umenifanya nicheke sana

Mkuu nipe maoni yako NBA

Philadelphia Q1 win

Houston Q1 over 60.5 points (au GSW Q1 win)

Nipe maoni yako?

Hatimaye won na mzigo wote nimeuwekeza tena Q3 over 58.5 points, tuombeane kheri.
 
Mkuu kwanza pole,ilikuwa ligi gan hiyo ulioweka 500k?
 
Hivi GSW kwanini huwa anamalizia game vibaya, ikitokea hajafanya vizuri Q1, Q2 na Q3 kwa ujumla wake hasa hasa kwenye q1 basi Q4 huwa hafanyi kitu?

Wanaishiwaga pumzi au ndiyo mentality waliyojijengea?

Na leo na Houston ndiyo kaanza vibaya hatimaye kapigwa Q4 kashindwa hata kufikisha vikapu 50, kaondoka na kazi yote aliyoifanya q1 na q3 dah hii kubet ni kazi sana.

CC: koncho77, Buddy
 
BOSNIA AND HERZEGOVINA: Premier League.
Sitaisahau hiyo siku dah na ilikuwa mara yangu ya kwanza kuweka stake kubwa kama hiyo nilikuwa najiwekea kuanzia elfu hamsini mpaka laki moja.

Mkuu kuna swali nimeuliza, naomba uzoefu wako na utaalamu
 
kwa sasa napumzika nba Miami alichonifanyia jana sina hamu na basket
 
GSW wasipokuwa na SC mara nyingi huwa hawafanyi vizuri q1 kama umeshajaribu kuwaangalia mara nyingi huwa nawaua
 
Wale wa Pmbet tunyooshe mikono..tupeane uzoefu..binafsi ukiacha udhaifu wa kukata ile asilimia 18 tovuti yao iko user friendly ..hata kuweka na kutoa in fasta.
 
Ukisikia mtaalamu wa NBA ni huyu yaani huyu hapa ni expert wa NBA mpaka anawajua wachezaji wa college
Billy Walters II
 
Wale wa Pmbet tunyooshe mikono..tupeane uzoefu..binafsi ukiacha udhaifu wa kukata ile asilimia 18 tovuti yao iko user friendly ..hata kuweka na kutoa in fasta.
Msaada inagoma kujiunga pmbet sehemu ya password nmeweka mara kadhaa inagoma
 
NAOMBENI MSAADA NAMNA YA RESET PASSWORD YA MERIDIAN BET, NIMEWAAMBIA ILA WANANITUMIA NAMBA TU NIKIINGIZA ZINAGOMA, MSAADA WENU WADAU
 
Wale wa Pmbet tunyooshe mikono..tupeane uzoefu..binafsi ukiacha udhaifu wa kukata ile asilimia 18 tovuti yao iko user friendly ..hata kuweka na kutoa in fasta.
option ya m pesa ni miezi sasa imeandikwa hivi punde wakikamilisha hiyo tutaanza kuifikiriafikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…