Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Pesa ya kodi unataka kubetia?hahahahahahahahahaha
chukua hizi basi
VILLARREAL win
BENFICA win
Valencia hali sio shwari huko
Kala chuma 2, na red card juu
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza GSW wameniharibia pesa nzuri sana siku ya leo[emoji24] [emoji24]Bulls
Miami heat
Gsw
Portland
All win
over 1, nadhani goli kuanzia moja. over 1.5 kuanzia goli mbili.Wadau tofauti ya over 1 goal na over 1.5 goal ni nini?
Okover 1, nadhani goli kuanzia moja. over 1.5 kuanzia goli mbili.
Mkuu kumbukumbu namba ya hawa ni 0081 unaweka na bet inakuw 0081 au ivoivoHamna hyo huduma uko mkuu, iko 1xbet na premierbet na wengineo
Deep Pond sorry kama narudia hili swali labda lilishaulizwa...1x Bet unadeposit kwa mtandao gani na je withdrawal nilisikia mtu anasema inasumbua au imekaaje?Pale kwny mkeka , kuna kibatoni kinaitwa "sell odds"
Ukikibonyeza biashara imeisha
KabisaSiku nzuri ya kucheza corner seria A
Muhindi bwana anampa 5 ruvu mzee wa 7yanga win odd 1.87
Ngapi ngapi sasa hizo corner maana hii ya juve na Roma balaa Verona na Crotone mauajiKabisa
Over 8.5 zinatoka hapo,chagua zako au weka zote kama una moyoLeo kona za kumwaga
1.Atalanta
2.Ac milan
3.Inter
4.Spurs
5.Bayern
6.Real madrid
Unaweza ongeza
7.Fiorentina
8.Sassuolo
9.Barcelona
Na kwangu ivo ivo, hata sms ya beyonic haijarudWakibwa nimetuma pesa 1×bet lakn mpaka sasa hata muamala siuoni ulipaji 1×bet upo complicated mno ukijisahau kidogo tu imekula kwako sijui nifanyaje tu.
Baba mimi tangu jana asubuhi 12000 yangu haipo kwenye account nililipa kupitia m pesaWakibwa nimetuma pesa 1×bet lakn mpaka sasa hata muamala siuoni ulipaji 1×bet upo complicated mno ukijisahau kidogo tu imekula kwako sijui nifanyaje tu.
Mi tangu juzi nasumbua nao nimewatumia evidence zote but hola kila nikiwauliza wananiambia wanashughulikia hivyo hakuna haja ya kuwatumia email tena maan tatizo langu linashughulikiwa ***** zao daaWakibwa nimetuma pesa 1×bet lakn mpaka sasa hata muamala siuoni ulipaji 1×bet upo complicated mno ukijisahau kidogo tu imekula kwako sijui nifanyaje tu.