TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,764
- 1,836
So far hakuna kampuni bora kama princessbet.Hii tabia inanikera sana.
Yaan unatatizo, umekwama
Afu Unawasiliana na MTU wa support service.
Afu nae badala ya kulichukua tatzo lako na kulishughurikia, eti nae anakubwagia link
eti
" chukua link hiyo hapo,wasiliana na technical team watakusaidia"
Yaani uende mwnyw kwa technical team ukaeleze tatizo lako.
Hivi kwani wao,
wanashindwa nn kuforward tatzo lako direct kwa hao technical team wao walishughurikie.
Ukiwaambia mnochofanya sio kitu kizuri.
Utaona tena wamekubwagia link nyingine,
eti
"malalamiko yako peleka sehemu husika ya malalamiko, chukua link hiyo hapo"
Haya, sio mbaya...
Umefata link na umeeleza tatzo lako kwa ufasaha.
Cha ajabu email hazijibiwi, zikibahatika kujibiwa majibu ni Yale Yale kwa kila swali.
Utadhani ni computer generated replies.
MBALI NA KUA NA ODDS ,OPTION NZURI.
ILA CUSTOMER CARE NI ZERO.
Ushauri,
HAWA jamaa hawafai kudeposit kiwango kikubwa au kukaa na ela nyng kwny ac yao.
Siku ela zkipotea, majibu yao yatakua ni kukubwagia links tu ukataabike mwnyw.
Nna ela yangu 15k, nlideposit juz haijafika mpk Leo.
HAWA JAMAA NI KUA MAKINI NAO SANA.
Yeah kweliYap mkuu ndo hvo n hii kaz n 50%50%
Maana hata option ya 5 mint no gal
Gol lnafungwa dk ya 3
Stake umeweka sh. NgapiReal madrid win
Bayern win
Tottenham x2
Bologna win
Udinese win
100%
Bado[emoji23]Stake umeweka sh. Ngapi
Meridian vipi siku hizi? Jana usiku niliwajaribu, nikaona network iko fresh.Kweli kabisa, Ndio sabab mzigo wangu wote naupeleka PMbet...uko naogopa siku wakipotea ghafla hewani unaweza jikuta unalia mwenyewe
Watu walinibeza hakuna 100% sureMkeka ukwapi tufate?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] weka jamvi tunalisubir mkuu proffesorWatu walinibeza hakuna 100% sure
Nimepata hofu nilitaka nianze kaz hko bt sasa naendelea na princessbetHao xbet mpaka wafe na watu wazee njooni PrincessBet Tanzania | Sports Betting
hakuna 100% sure kwenye betting acha ubishi.Watu walinibeza hakuna 100% sure
waprove wrong kwa kuweka sasa humu mkeka japo mmoja kingine usipende kuwa fata watu wanacho sema kama ww inakulipa endelea kupiga pesa mzee maneno ya watu yasi kuumize kichwa ww fanya yakoWatu walinibeza hakuna 100% sure
ProcedureMpesa ilikuwa faster kinoma sekunde 10 hela inasoma
Asante sana brother kwa maneno mazur sana mkuu..much appreciatedwaprove wrong kwa kuweka sasa humu mkeka japo mmoja kingine usipende kuwa fata watu wanacho sema kama ww inakulipa endelea kupiga pesa mzee maneno ya watu yasi kuumize kichwa ww fanya yako
Hahha, mi nilifikiri wameacha[emoji23]View attachment 681263 hivi meridian bado hawajaachaga huu upuuzi tu kumbe
ushauri. Rudi princess betHii tabia inanikera sana.
Yaan unatatizo, umekwama
Afu Unawasiliana na MTU wa support service.
Afu nae badala ya kulichukua tatzo lako na kulishughurikia, eti nae anakubwagia link
eti
" chukua link hiyo hapo,wasiliana na technical team watakusaidia"
Yaani uende mwnyw kwa technical team ukaeleze tatizo lako.
Hivi kwani wao,
wanashindwa nn kuforward tatzo lako direct kwa hao technical team wao walishughurikie.
Ukiwaambia mnochofanya sio kitu kizuri.
Utaona tena wamekubwagia link nyingine,
eti
"malalamiko yako peleka sehemu husika ya malalamiko, chukua link hiyo hapo"
Haya, sio mbaya...
Umefata link na umeeleza tatzo lako kwa ufasaha.
Cha ajabu email hazijibiwi, zikibahatika kujibiwa majibu ni Yale Yale kwa kila swali.
Utadhani ni computer generated replies.
MBALI NA KUA NA ODDS ,OPTION NZURI.
ILA CUSTOMER CARE NI ZERO.
Ushauri,
HAWA jamaa hawafai kudeposit kiwango kikubwa au kukaa na ela nyng kwny ac yao.
Siku ela zkipotea, majibu yao yatakua ni kukubwagia links tu ukataabike mwnyw.
Nna ela yangu 15k, nlideposit juz haijafika mpk Leo.
HAWA JAMAA NI KUA MAKINI NAO SANA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanangu unaongea kizanaki??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weka Mkeka Mzee,Tufate.Watu walinibeza hakuna 100% sure
Wap ya leo proffesa ndonaisubili.
Second win for today.... 100% uhakika sure 10 min X..... best option under the Sun....
Embu share mbinu zako, unazo tumia kwenye 10 XAsante sana brother kwa maneno mazur sana mkuu..much appreciated