ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
niewithdroo asubuhi pesa aijaja.now nacheck balance kweny 1xbet account pesa imerudi nikawithidroo tena stil pesa aijafika.ssa sijui mi ndo nakosea au laa,mkuu natumia pc kwa version ya simu ssa sehemu ya charting siioninimeona ukiomba msaada hapa mara kadhaa je umejaribu kuchat nao?
kwa sabab kwa uoande wangu huwa haizidi dakika 15
lakini pia wakati wa kujisajili kama ulitumia quick registration nasiki huwa inazingua kuwiyhdraw
duu jana nimejaribu hiyo kwa Ajax timu mbili zimetiki nasubiri game ya ajax iishe nilipe bill ya watu kilichotokea nlitaka kulia1xbet vioption kibaoo
Aiseee kwang n stress Ku withdraw hatarMi 1×bet haijawah nisumbua kwa sasa kwenye kuweka pesa na kutoa pesa alaf option za hatari.
mkuu hebu nisaidie hiyo namba ya mlipaNimewapata MLIPA leo wamepokea nikaongea nao kuhusu hela ambayo haijafika 1xbet, jamaa ananiambia hao 1xbet wasumbufu sana usideposit tena hela huko. Hela yangu wamesema wanairudisha kwe mpesa
Nmecheka sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti jamaa anaisifia princess [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijamaanisha kubadirika, zinahama position unaweza ukawa unachagua point za home team kumbe wakati unachagua ile position ya home wamesha weka point za away team kwa hiyo usipo kuwa makini wakati una place bet unaweza uka poteza kizembe sana, na imesha wahi kunitoke zaidi ya mara moja kupoteza namna hiyo.Hahah[emoji23] noma sanaa ila hiyo huwa kwa sbb ya mwenendo wa mechii nd mana zinakuwa odds zinabadilika ni kawaida ya live games ndo zilivo
Mm ndo kabsa disco yan1×bet lugha ndio tatzo kwa sisi ambao lugha chai ya lang i
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] just kidding
Dah! Mkuu inamaana tupahame kule?Nimewapata MLIPA leo wamepokea nikaongea nao kuhusu hela ambayo haijafika 1xbet, jamaa ananiambia hao 1xbet wasumbufu sana usideposit tena hela huko. Hela yangu wamesema wanairudisha kwe mpesa
cc Buddywadau mnatumia 1xbet una depost vipi fedha kwa njia ya m-pesa vodacom
ONLY for the mobile phone supporting USSD push messages-nimeshindwa kuelewa hapa wanamanisha nini
mkuu ku depost una depost vip? nimeshindwa kuelewa hapa -ONLY for the mobile phone supporting USSD push messagesLazma iwe n hyo no uliyojisajili
Nayo mkuu unayotumia kudepost
mnkuu ninataka ku depost hela kwa m-pesa vipi inawezekana1xbet kuwithdraw ni rahisi saana. Sema ukiwa na bonus walokupa huwezi toa hadi uliwe bonus yote au uwin kama wanavyotaka
We mchumi bhana pale umeletewa amount na no# unayo depositia uki weka amount na no# yako egmkuu ku depost una depost vip? nimeshindwa kuelewa hapa -ONLY for the mobile phone supporting USSD push messages
Nadhani njia nzuri zaidi ya ku-deposit na ku withdrwaw 1xbet ni kutumia e-walet especially skrillMimi bado sijajaribu kuwithdraw ... maana nimechezea vipigo mfululizo ... jana Wanyama ndio alimaliza na mtaji kbs.
Hiyo ya mwisho ndio inapatikanamkuu hebu nisaidie hiyo namba ya mlipa
mkuu ukijisajiri kwa quick registration?niewithdroo asubuhi pesa aijaja.now nacheck balance kweny 1xbet account pesa imerudi nikawithidroo tena stil pesa aijafika.ssa sijui mi ndo nakosea au laa,mkuu natumia pc kwa version ya simu ssa sehemu ya charting siioni
nielekeze kudeposit kupitia tigo maana naona unatumiaaa tigo mkuu nami nataka kujiregister kupitia tigoBasi nimeshafanikiwa wakubwa