Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah! Mkuu inamaana tupahame kule?
M lipa wanataka kutustaafisha, dawa hapa ni kudeposit amount ndogo ndogo huku unasikilizia, maana cwez wahama nina bahat nao nzuri
 
Nimewapata MLIPA leo wamepokea nikaongea nao kuhusu hela ambayo haijafika 1xbet, jamaa ananiambia hao 1xbet wasumbufu sana usideposit tena hela huko. Hela yangu wamesema wanairudisha kwe mpesa
Hivi unajua 1×bet hawana shida ila hizi mitandao yetu ndio yakiboya aiseee, mi naona mitandao ya bongo yetu aisee alafu ikiwezekana hao m lipa ndio namashaka nao.
 
M lipa wanataka kutustaafisha, dawa hapa ni kudeposit amount ndogo ndogo huku unasikilizia, maana cwez wahama nina bahat nao nzuri
M lipa ndio wanamatatizo mkuu sio 1×bet maana kutuma kutoa pesa zinapitia kwao iweje kuwe nashida? Alafu na wao wanafanya biashara wanataka kutuibia.
 
M lipa ndio wanamatatizo mkuu sio 1×bet maana kutuma kutoa pesa zinapitia kwao iweje kuwe nashida? Alafu na wao wanafanya biashara wanataka kutuibia.
Mlipa ndio kimeo hapo, ma wanakaa na hela za watu na mwenye hela akikaa kimya basi za kwao
 
Kunasiku nikaomba wanipigie siwakapiga bhana yaani wanapga lugha ya hatari mimi nkawa nawajib You know youuuuuuu know zikawa nyingi sana, nilivyo ona wanazidi nikawakatia sim [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ww jamaa haa haa
 
Mlipa ndio kimeo hapo, ma wanakaa na hela za watu na mwenye hela akikaa kimya basi za kwao
Mi hela yangu huwa haiondoki kizembe huwa msumbufu mno sio m lipa sio 1×bet.
 
Ila hizi za over 2.5 nimesha ziogopa hat kama tim huwa zinatoa mambo yakuwa imefika dakika ya 85 alafu wanastaki kwenye goal 1 unaanza kuachia pumbu ili goli mbili ziingie faster sitaki [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaachia pumbu gol mbili ziingie
Kwa dk 9
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaachia pumbu gol mbili ziingie
Kwa dk 9
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu sihitaji saiv huo mfumo mhindi nahitaji nimvizie inplay tena kwenye yellow card na corner jana nmempga mno inplay kama barcelona kwenye corner nilimpga odds 3.9 hz zakuandaa mikeka mapema kumbe wachezaji wanaingia uwanjani huku wanatumbo la kuhara hata hzo over 1.5 wasitoe sitaki.
Juzi kati kunakitim cha Netherland had over 5.5 huwa kinatoa lakini kilivyo nifanya kikaishia goal 1 had dakka ya 86 nikabana pumbu ili kifunge magoli mawili kwa dakika 4 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
 
View attachment 690885
Muamala usha soma dk 0 tu kudeposit na sijawah patwa na tatzo lolote natumia Push message
Mkuu hivi kufanya muamala kwa USSD push message unatakiwa utumie smart phone??

Maana mimi nilifanya na tena nilitumia Tigo na sms walinirudishia hivyo hivyo hao Beyonic tangu J Mosi lakini pesa haijasoma kwenye Account

Nilitumia ki simu kidogo cha kubofya though.
 
Substitute Player to Score hii option mbona mm siiyoni ipo sehemu gani

Natumia 1xbet
 
Substitute Player to Score hii option mbona mm siiyoni ipo sehemu gani

Natumia 1xbet

Inawekwa kwa baadhi ya Ligi ... sio zote. Angalia kwenye timu za ligi kubwa kubwa mf. England, France, Italy, Spain, Germany ... utaiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…