Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani push SMS ndo IPO na beyonic yaan M LIPA ...ila hiii nyingine ya e lipa ndo nimeona wanazingua mwenyew toka jumamosi nimedopist
mkuu kwangu naona hawa e Lipa wako poa sana. kwanza hawana makato pindi unapodepost yaani kama m pesa yako ina buku mbili unadepost yoote na ibaingia vizuri tu. ila sasa inatakiwa pale unapokamilisha muamala inabidi usumbili SMS yao na ya voda ( SMS zinatokea ndani ya sekunde kadhaa). baada ya SMS za uthibitisho, rudi kule kwenye deposit ka click pale pameandikwa "complete". FASITA MPUNDA UMEINGIA
 
Pole sn kamanda.

Nina hakika Prof angekuwa na ushirikiano wa kushare ile mikaka yake ya "10 Min X" .. tungesogeasogea kwny kupunguza hasara. Ila yeye amechagua kula peke yake.

Aksante sana, Prof walimuumiza sana kushangilia mkeka wake kuchanika.

Hivi Fedha zako kutoka M-Lipa ulisharejeshewa?
 
Aksante sana, Prof walimuumiza sana kushangilia mkeka wake kuchanika.

Hivi Fedha zako kutoka M-Lipa ulisharejeshewa?


Yes walinirudishia 1xbet ... niliwasiliana nao kwa email. Ila ilichukua muda kdg baada ya back and forth emails (km siku 2 km sio 3).
 
Wadau hii bonus kwenye Ixbet unaitumiaje, nimejarb naona haikubali
 
hivi 1xbet wanaruhusu kubadirisha point bonus zikiwa ngapi
 
Yes walinirudishia 1xbet ... niliwasiliana nao kwa email. Ila ilichukua muda kdg baada ya back and forth emails (km siku 2 km sio 3).
Vipi Walikwambia uSCREENSHOT M-pesa Statement?
 
Bro iv ukitumia kudeposit 1xbet kwa kutumia airtel wakala wa uku bongo ni uyo uyo M lipa kama voda au.
 
Wakuu huu ni ushuhuda leo nimediposit 1xbet kupitia tigo pesa ilhali nilijiunga na namba ya voda na mpunga umesoma fresh tu .
 
Afadhali jana nilifanikiwa kujiunga na 1xbet, yaani wana options za kumwaga hadi rakhaaaa!!!
 
Wakuu huu ni ushuhuda leo nimediposit 1xbet kupitia tigo pesa ilhali nilijiunga na namba ya voda na mpunga umesoma fresh tu .
unafanyaje mkuu maana na mm nlijiunga na voda ila natamani kudepost kwa tigo
 
Mkuu mbona mm jana nimedopsit kwa M LIPA nikakatwa?
 
Mkuu mbona mm jana nimedopsit kwa M LIPA nikakatwa?
m lipa wanakata ila eLipa hawakati...eLipa in ile inakuletea option ya kujaza namba ya sim na E mail, eLipa haina push massage
 
m lipa wanakata ila eLipa hawakati...eLipa in ile inakuletea option ya kujaza namba ya sim na E mail, eLipa haina push massage
Nielekeze nifanyaje nihamie kwa eLIPA mkuu maana naona hawa mLIPA wananipiga sana hela wakati nnapodeposit.
 
daah hawa eLipa mbona siwaelewi? kwenye kumbukumbu namba unjaza nn?na namba ya kampuni ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…