Hahahahaaa ungejaribu na basket mkuu hakika mimi leo kidogo nimekuza kamtaji ila ni hiz ligi za watoto aisee mhindi kuke naona kajisahau kidgoHaaa haa haa dhaaaaaaaa acha tu
Mkuu utazan waliambizana
Aiseee hata mm kwa vipigoDah! Wangese sana acha mi nipumzike kwanza aisee maisha yanapo endea si pazur yaaan ***** nikiweka mkeka lazima limoja liharibu psg mamaeeeeeeeee.
Dhaaaaaaaa ngoja nitafte lig ya watotoHahahahaaa ungejaribu na basket mkuu hakika mimi leo kidogo nimekuza kamtaji ila ni hiz ligi za watoto aisee mhindi kuke naona kajisahau kidgo
Mkuu usikate tamaa mapema mhindi bado anadeni kubwa sana twamdai hamia kwa kive basket ujaribu na huko mi football sina bahat nayo jana nikaweka over 1.5 kwa trabzospor na mwenzie ***** yakatoka 0-0 leo napo nikawaendea cyprus kwa under 3.5 dadeki kipind cha kwanza tu 0-3 cha pili sasa wacha afumuliwe mtu magoriDah! Wangese sana acha mi nipumzike kwanza aisee maisha yanapo endea si pazur yaaan ***** nikiweka mkeka lazima limoja liharibu psg mamaeeeeeeeee.
Kabisa mkuu mi nimeingia na buku tatu but mpaka saa hii nadhani mhindi huko aliko anajuta namdai pesa mingi sana huyuDhaaaaaaaa ngoja nitafte lig ya watoto
Basketball naona hua wanawekana
Sana vikapu
Mkuu dah! Hata basket nasikia baridi kujaribu vipigo sio vya nchi hii.Mkuu usikate tamaa mapema mhindi bado anadeni kubwa sana twamdai hamia kwa kive basket ujaribu na huko mi football sina bahat nayo jana nikaweka over 1.5 kwa trabzospor na mwenzie ***** yakatoka 0-0 leo napo nikawaendea cyprus kwa under 3.5 dadeki kipind cha kwanza tu 0-3 cha pili sasa wacha afumuliwe mtu magori
Hahaha usiogope aisee nikurisk tu maan hii biashara bila kurisk haiendiMkuu dah! Hata basket nasikia baridi kujaribu vipigo sio vya nchi hii.
Mkuu huko NBA Kwa watoto c ndo kuzurKabisa mkuu mi nimeingia na buku tatu but mpaka saa hii nadhani mhindi huko aliko anajuta namdai pesa mingi sana huyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikirudi upya ndio ntakuja na hyo system, mhindi katoka kaaga ww sio bure [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha usiogope aisee nikurisk tu maan hii biashara bila kurisk haiendi
Yap mi huwa nachanganya naenda NBA kidgo narudi na ligi ambazo hazifamiki sana hususani za hawa watoto wanajitahid kufumuanaMkuu huko NBA Kwa watoto c ndo kuzur
Dhuuuuu ngoja nije huko nione kamaYap mi huwa nachanganya naenda NBA kidgo narudi na ligi ambazo hazifamiki sana hususani za hawa watoto wanajitahid kufumuana
Hapa ndo balaa la 1XBET, Ukiipata hiyo Omba Mungu sana.Mm nimetoa hela saa 7 mchana. Kwenye account wameandika approved. Ila kweny m pesa haijasoma mpaka sasa
Bet wonGood luck
Bet wonGood luck
Hongera sn mkuuBet won
Mkuu, naona umeniita...Pole sn kamanda.
Nina hakika Prof angekuwa na ushirikiano wa kushare ile mikaka yake ya "10 Min X" .. tungesogeasogea kwny kupunguza hasara. Ila yeye amechagua kula peke yake.