Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Of all the betting options why you guys are always going for a WIN option? magoli kama mkamai2+, 3+ is far betttimukushindaIl kushinda.
 
Kama ingekua kuna team za uhakika premier betting na meridian wangekua bankrupt kitambo sana.be prepared for anything.

Game za uhakika zinakuwepo ila betting is more psycological, tamaa ya kupata pesa nyingi watu wengi wanajaribu kuweka timu nying ambazo hawazifaham vizur au kama wanazifaham bas hawa angalii recent form ya tim zinazokutana wala status ya vikos..
 
Zote hizo hazisaidii,wakati naanza betting nilikua nachek head to head,recent form,form ya away na home, historia ya hizo team yani tips zote lakini nilikua kushinda kwa mbinde ila sikuiz najilipua tu naweka mkeka navojisikia na kusema kweli napata pata.
 
nakuhakikishia mm nitakuja kuwa tajiri kwa njia ya kubet,ngoja nifanye betting reform zngu kuanzia mwez ujao.
 
Of all the betting options why you guys are always going for a WIN option? magoli kama mkamai2+, 3+ is far betttimukushindaIl kushinda.

Ndiyo maana ya thread hii mkuu, kupeana mawazo! Hebu shusha mikeka tushauriane kaka.
 
ndo hvyo 2nabahatisha labda ipo siku 2takula M 5 Kwa buku!.
 
Last edited by a moderator:
jaman hiv mechi ya rubin kazan vp nliangalia apdet nikakuta full time mojamoja sasa naangalia tena iko live dkk ya 70 mojamoja inakuwaje ebu nisaidien
 
kwel kaka nimi nataka nitenge M1 offical kama betting capital afu nianze ku2pia kuanzia elf 50 na kuendelea naona kuweka dau ndgo ndgo ni kuzidi kumuwezesha mzungu kila cku.
 
back again , like a bad penny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…