Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada kwenye tuta. Nimevuta laki moja toka Premium bet siku ya NNE Leo sijaipata hiyo pesa. Kwenye wallet imetoka ila kwenye mpesa yangu sijawekewa. Kuna namba yao ya huduma insishia na 0766895903 ila haipatikani.
Iyo namba inapatikana lakini uyo mdada hana msaada wwt zaidi atakwambia subiri unawekewa me nimemtukana muda si mref
 
Unaweza kubadirisha, nenda kwenye akaunti setting
 
Msaada wa haraka jinsi ya kudepost pesa Premier bet na m bet
 
Aisee au kwa vile nilikula mpunga mrefu sana ndo maana hawatak niuchomoee..?
Ha ha ha haha ha hiyo haiwezi kua sababu sidhani hata kama iyo pesa uliyokula inafika mil10 na kuendelea. 1Xbet ni moja kampuni kubwa sana duniani aiseee sio hizi kampuni njaa za kina fulani hapa bongo ambazo hata options kwao ni limited
 
hiyo kampuni haiwezi kuwa na njaa za ajabu ajabu kwenye jackpot yao tu hufikia hadi kiasi cha Bilioni mbili za kitanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…